Wazazi, Tunaelekea Wapi?

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,753
7,844

...This is WRONG, WRONG, WRONG!!!! :angry:
 
Last edited by a moderator:
na huyo sijui ni mama mtoto na makofi anapiga kabisa kusapport huo upuuzi,mambo mengine ya kipumbavu tufanyie hukoo sio mpaka mbele ya watoto .nimesikia hasira yaani Mbu umetoa wapi hii jamani.
 
This is preposterous, appalling, and repulsive.

Somebody please call child protective services.
 
...kuna anayewafahamu hawa? I hope sio Bongo!
Lakini hiyo mirindimo na kelele zake, mnh!

Najiskia kama kulia aisee,...kabinti kangu kufanywa kinyago?,
ningeua mtu!
 
I would go berserk if somebody did that to my cute little girl. Yaani usipime. Nitang'oa meno ya mtu.
 
na huyo sijui ni mama mtoto na makofi anapiga kabisa kusapport huo upuuzi,mambo mengine ya kipumbavu tufanyie hukoo sio mpaka mbele ya watoto .nimesikia hasira yaani Mbu umetoa wapi hii jamani.

Nimejiskia Uchungu sana nilipoiangalia hii,
nikajionea acha ni share na nyie, dunia inaelekea pabaya!

I would go berserk if somebody did that to my cute little girl. Yaani usipime. Nitang'oa meno ya mtu.

...halafu umekaona hako ka bwan mdogo? ...eti nako kana "Bump n' Grind!"
Aisee kanastahili makwenzi, kisha hakuna tena kununuliwa nguo ya sikukuu.
Kanastahili detention nyumbani plus Home works mpaka katapomaliza darasa la saba!
 
Jamani mbona nasikitika?? Hivi huyo ni mamake kweli wa hako katoto?? duh....kweli wazazi tuna kazi. Tatizo ni nini wajameni hebu tusaidiane.......tuassume huyo ni mamake na huyo mtoto..............tunamexplain vipi?? ni malezi yake toka kwa wazazi wake?; karithi mtaani? kisomo au ni nini? Why mmama akubali upuuzi huu??
 
huwezi amini mbu mambo mengi yamekuja kichwani nikajisikia hasira,uchungu acha tu sijui tunawaza nini kwakweli tusisahau hawa ndo wanacheza na watoto wetu mashuleni,majumbani tukiwa hatuko karibu nao KWA NEEMA YA MUNGU TUTAWEZA HAKIKA KWA NGUVU ZETU HATUTASHINDA.

Nimejiskia Uchungu sana nilipoiangalia hii,
nikajionea acha ni share na nyie, dunia inaelekea pabaya!

Jamani mbona nasikitika?? Hivi huyo ni mamake kweli wa hako katoto?? duh....kweli wazazi tuna kazi. Tatizo ni nini wajameni hebu tusaidiane.......tuassume huyo ni mamake na huyo mtoto..............tunamexplain vipi?? ni malezi yake toka kwa wazazi wake?; karithi mtaani? kisomo au ni nini? Why mmama akubali upuuzi huu??

...Mwenye Black Top? hapana, huyo anaonekana teen fulani, labda dada'ke.
Ila ukisikiza vizuri utasikia sauti za kina mama watu wazima.
Hii ni matokeo ya nini? Utandawazi?
Watoto wetu wanaangalia sana Ragga Ragga na Dancehall nini?
 
Lakini hata katika mazingira ya kwetu yapo! Disco toto ni nini? Wazazi wengi wameingia kwenye mtindo wa kuruhusu watoto kwenda disco toto, Idd, X-mass, mwaka mpya etc. Kuna mzazi yeyote husindikiza watoto huko disco toto? Na haya ndo hutokea.
Tunawasajili watoto kwa Lucifer na kuwapa namba za kudumu huko. Mungu tuepushe haya.
 
haka katoto nazani period yake ya kwanza kataanza na ujauzito. dah! hapa hata yesu akirudi bado ngoma ngumu.
 
Mhhh! Siyo kila binadamu anayeweza kumleta mtoto hapa duniani anastahili kuwa mzazi. Hawa wanastahili kabisa kunyang'anywa watoto kama baadhi ya hao watoto ni watoto wao.
 
Lakini hata katika mazingira ya kwetu yapo! Disco toto ni nini? Wazazi wengi wameingia kwenye mtindo wa kuruhusu watoto kwenda disco toto, Idd, X-mass, mwaka mpya etc. Kuna mzazi yeyote husindikiza watoto huko disco toto? Na haya ndo hutokea.
Tunawasajili watoto kwa Lucifer na kuwapa namba za kudumu huko. Mungu tuepushe haya.

Well said mestod unakuta kabisa mzazi na akili zake timamu anamwambia mtoto ongoza na wenzio mwende disko toto, sasa wakiwa wanarudi ukutane nao uone wakifanyacho lahaula lakwata utachoka.

Mi kabinti kangu huwa kananiona mkoloni sana, ila naamini katakuja kunishukuru baadae
 
Jamani mbona nasikitika?? Hivi huyo ni mamake kweli wa hako katoto?? duh....kweli wazazi tuna kazi. Tatizo ni nini wajameni hebu tusaidiane.......tuassume huyo ni mamake na huyo mtoto..............tunamexplain vipi?? ni malezi yake toka kwa wazazi wake?; karithi mtaani? kisomo au ni nini? Why mmama akubali upuuzi huu??
kamanda

i saw this on facebook nikasikitika sana

Haya ni matunda ya malezi mabaya... hawa watoto hawana malezi , wanaishi-ishi tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom