Mbona pancha zimekuwa nyingi

Mbona pancha zimekuwa nyingi

Kuna kitu naweza sema vyombo vya moto vina mechanical au electrical malfunction hilo ni jambo la kawaida sana ila waliweka preventive maintenance tena ndiyo watengenezaji hawakuwa wapumbavu kabisa.
Siyo mabasi tu ila kuna hata vyombo vingine zaidi ya hapo matengenezo yake na ufuatiliaji ni magumashi vibaya mno ni basi tu SAMAKI ANA MENGI YA KUSEMA ILA .....

Japo kuna kampuni nawakubali mno wanazingatia muda na kubadili components serious kabisa.
 
Wakuu...
tumefika hapo
Dodoma kiyutong kikapata pacha, kama tu jana yule jamaa alivyo post what is wrong!
Ulisali kabla ya safari, Nia yetu wote mhamie kupanda treni jamani dar dodoma, hatuzibi viraka kabisaaa
 
Mwaka wa 47 ilikuwa nadra na ajabu kusikia neno pancha kwa maana tulitumia punda kusafiria.

Mungu saidia tulitoboa tu!
 
Back
Top Bottom