Wazazi tumieni busara sometimes...

Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,579
5,375
Sijui mzazi wake ana mpango gani na huyu mtoto...

399512_438427679530077_2132096625_n.jpg
 
A future Usain Bolt...maana huo ugali au sijui fufu....ni full ma carbohydrate....
 
Kweli wazazi inabidi kutumia busara kabisa, ni kuonea watoto tu, kiugali gani hicho sasa? Kama huwezi kulea ulizaa wa nini? Tabia mbaya sana yaani.
 
Kweli wazazi inabidi kutumia busara kabisa, ni kuonea watoto tu, kiugali gani hicho sasa? Kama huwezi kulea ulizaa wa nini? Tabia mbaya sana yaani.

Hata kwangu, unconditional fan of ugali, siwezi kumaliza ugali kama huo. Sasa mtoto mdogo hivo? just imagine that when empty his stomach is the size of his fist. It will need to expand 10 times for the ugali to fit in. then atakaa na chakula tumboni kama boa constrictor, anashindwa ku-digest, and after six hours the body will just flash everything out to welcome a new meal. Ya nini haya yote?
 
A future Usain Bolt...maana huo ugali au sijui fufu....ni full ma carbohydrate....

Hicho kisamvu kina proteines kibao! huoni samaki ndani yake? (or is it mifupa ya uboho?). tatizo ni quantity!
 
Shati kubwa atakua nalo........shoes the same....pants pia

Hapo kwenye ugali mkubwa sijui falsafa gani inaongoza huo mlo
 
Aiseee baba yangu mtaishia kusema ivyo wazungu wanamalengo huyo mtoto ni azina kwao ndio maana wanampa msosi huo lazima alete medali ya dhahabu 2124 kwenye olimpic kukimbia
 
Aiseee baba yangu mtaishia kusema ivyo wazungu wanamalengo huyo mtoto ni azina kwao ndio maana wanampa msosi huo lazima alete medali ya dhahabu 2124 kwenye olimpic kukimbia

angeshushia na mbege ingekuwa safi sana
 
Halafu mbona kama sio chakula bora...no bora chakula. Am sure hiyo sio tanzania...ni west africa.
 
Back
Top Bottom