Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,877
- 31,620
- Thread starter
- #61
Jinsia gani, na dini gani?Mkuu taja na majina ya usasa basi Kwa uchache ili tuchukue nondo.
Jinsia gani, na dini gani?Mkuu taja na majina ya usasa basi Kwa uchache ili tuchukue nondo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mwenzake Matatizo au ShidaMasumbuko😅
Nimemkumbuka Wolfgang Seiya.Wolfgang 🔥🔥
Hatari sana mie nashukuru Mungu wazazi wangu walikua mbele ya mda 🥰🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mwenzake Matatizo au Shida
Mimi hapana! tabia zao zianze kumsumbua mwanangu, akhaa! Majina ya kurithi sipendi..
Gari, nguo nk nk leo jina nalo mtumba wa mdhunguKwa hiyo hayo majina unayosema ni ya kisasa yenyewe sio ya kurithi? Huyo mwanao ndio atakuwa wa kwanza kuitwa jina hilo hapa duniani?
Huyo huyo mwenye jina kama unalotaka kumpa mwanao naye anatabia zake vile vile na zinaambatana na hilo jina vile vile
Mtoto wangu wa kwanza anaitwa Nyangema, wa pili anaitwa Jujawamaajuja, wa tatu anaitwa Ng'wanamalundi, wa nne anaitwa Dushelele.Sasa hv twende na Yesu, mtoto wangu ajae ataitwa Yesu Mbaga
Masikini jina la mababu zetu🥲Nilikutana na mtoto wa miaka sita anaitwa ZEBEDAYO yaani jina refu na kongwe kuliko yeye.
Nakubaliana na wewe. Mpe mtoto jina ambalo kwanza ni nadra, pili liwe lina-sound poa, tatu usitafute liwe na maana kubwa sana. Likiwa na hizo sifa mbili, hata kama linamaanisha jiwe, meza, shamba, inatosha. Mradi lisimaanishe kitu kibaya kama mwizi, mavi, shetani nk.Kuna majina kwa sasa hayafai kuwapa watoto maana yameshapitwa na wakati.
Embu jaribu kufikiria unakutana na mtoto wa mwaka mmoja anaitwa Mwanne, Tatu, Yona, Bartholomew, Juma,Shabani ,Hamisi,Isaya ,Jumanne,
Wengine ndio hao akina Selemani ,Sikudhani, Rajabu, Paulo, Fatuma ,Ashura,Rehema, Pius, John, Jose ,Mudi ,Omari,Shamte nk
Kiufupi haipendezi kwa kweli, tafuteni majina yanayokwenda na wakati hayo yalishapitwa na zama zake .
Kama unavyoona ni ngumu kwa sasa kumpata mzee anaitwa Junior, au Precious 😂😂😂😂😂😂 basi na hayo majina nayo tuachane nayo ,tuangalie majina ya kisasa.
Hivi kuna mzungu anaitwa Wambura, au Matonya au Mwakalukwa au Byalugaba ?Kuna majina kwa sasa hayafai kuwapa watoto maana yameshapitwa na wakati.
Embu jaribu kufikiria unakutana na mtoto wa mwaka mmoja anaitwa Mwanne, Tatu, Yona, Bartholomew, Juma,Shabani ,Hamisi,Isaya ,Jumanne,
Wengine ndio hao akina Selemani ,Sikudhani, Rajabu, Paulo, Fatuma ,Ashura,Rehema, Pius, John, Jose ,Mudi ,Omari,Shamte nk
Kiufupi haipendezi kwa kweli, tafuteni majina yanayokwenda na wakati hayo yalishapitwa na zama zake .
Kama unavyoona ni ngumu kwa sasa kumpata mzee anaitwa Junior, au Precious 😂😂😂😂😂😂 basi na hayo majina nayo tuachane nayo ,tuangalie majina ya kisasa.
Imeenda hiyoooooooooooooMtoto wangu wa kwanza anaitwa Nyangema, wa pili anaitwa Jujawamaajuja, wa tatu anaitwa Ng'wanamalundi, wa nne anaitwa Dushelele.
Wa Tano (wa mwisho) akizaliwa ataitwa Mnyetukaji.
Simple like that.
huu ni uongo 😁Kuna Dogo anaitwa TOM baba ake anaitwa MBANENI MAPUNDA.
class ilikuwa kizaa zaa kumuita.
ChaiKuna majina kwa sasa hayafai kuwapa watoto maana yameshapitwa na wakati.
Embu jaribu kufikiria unakutana na mtoto wa mwaka mmoja anaitwa Mwanne, Tatu, Yona, Bartholomew, Juma,Shabani ,Hamisi,Isaya ,Jumanne,
Wengine ndio hao akina Selemani ,Sikudhani, Rajabu, Paulo, Fatuma ,Ashura,Rehema, Pius, John, Jose ,Mudi ,Omari,Shamte nk
Kiufupi haipendezi kwa kweli, tafuteni majina yanayokwenda na wakati hayo yalishapitwa na zama zake .
Kama unavyoona ni ngumu kwa sasa kumpata mzee anaitwa Junior, au Precious 😂😂😂😂😂😂 basi na hayo majina nayo tuachane nayo ,tuangalie majina ya kisasa.
1. JuniorYataje!
No 3&6 ni ubatili mtupu🙌🏾1. Junior
2. Jayden
3. Samia
4. Alvin
5. Trish
6. Bashite
7. Cute
8. Love
9. Peace
10. Baraka