Samahani ndugu waweza orodhesha baadhi ya hizo katuni unazozifahamu zenye maudhui yasiyo rafiki kutazamwa na watoto kama hutajali.Salaam ndugu zangu,
Katuni imekuwa ni michezo/ Filamu muhimu sana katika kusaidia malezi na kuwafariji watoto wetu. Baadhi ya katuni maarufu ni kama Tom and Jerry, Moana, Zootopia, Luca, Sing, Rango na nyinginezo.
Nashukuru ngoja nizipitie kwenye ''VAR'' yangu kabla ya kumwachia ankoli wangu aziangalie.....Kuna katuni kama Familyguys na Bad Cat hizi zina maudhui ya kiutu uzima
Kingine zingatia PG yake inakupa umri kabisa wa mtu wa kuangalia. Under 5 wote wanapaswa kuangalia zaidi vitu vya kuwafundisha kuzungumza, kuchora, kusoma, kutambua vitu.Samahani ndugu waweza orodhesha baadhi ya hizo katuni unazozifahamu zenye maudhui yasiyo rafiki kutazamwa na watoto kama hutajali.
Ahsante sana well noted ndugu......Kingine zingatia PG yake inakupa umri kabisa wa mtu wa kuangalia. Under 5 wote wanapaswa kuangalia zaidi vitu vya kuwafundisha kuzungumza, kuchora, kusoma, kutambua vitu. Kwa kifupi kabla ya kumruhusu mtoto aangalie katuni YOYOTE ihakiki kwanza. Dunia imekuwa ya ajabu sana kuna agenda za ajabu sana zinaingizwa siku hizi humo humo kwenye za kusoma na kuandika au kuimba.
i agree with the terms and conditons kwa hili.................Halafu unajua kuna kitu inabidi mfahamu. Hawa watengeneza hizi katuni wanazozipa maudhui ya kiutu uzima wengi huwa wanazitengeneza kwaajiri ya audience ya wale watu wazima ambao wanapenda katuni ndio maana katuni zinakuwa na materials ambazo si za kitoto.
Kuwa mzazi na mlezi si kazi ndogo. Tupambane.
Makinika na cartoon zote za Disney channel nk.nashukuru ngoja nizipitie kwenye ''VAR'' yangu kabla ya kumwachia ankoli wangu aziangalie.....
Utamaliza Katuni zote? Cha muhimu hakikisha una access ya internet mara nyingi, kila filamu ina rating kuna rating kama U, PG, 12, 18 etc.Samahani ndugu waweza orodhesha baadhi ya hizo katuni unazozifahamu zenye maudhui yasiyo rafiki kutazamwa na watoto kama hutajali.
Makinika na cartoon zote za Disney channel nk.
Kuna cartoon inaitwa Little demon, hii inawafunza watoto uchawi, isipokuwa makini mtoto wako anaweza Anza kuwanga bila we kujua, mtoto akiangalia cartoon za aina hii, usiku hutoka mapepo kupitia tv Yako na kumuingia mtoto kupitia NDOTO sababu umrfungua mlango.
Channel hiyo zipo cartoon zenye kufundisha USHOGA, baada ya muda utaona mtoto akianza kupractice Kwa wenzie, darasa linatoka kwenye tv.
Ibilisi alipoona wazazi hawana muda na watoto, anawafundisha Yeye kupitia cartoon.
Kwa Hali ilivyo, ni Bora utazame kwanza wewe cartoon hizo ujue maudhui.
Sawa nimekuelewa nipo naperuzi hapaUtamaliza Katuni zote? Cha muhimu hakikisha una access ya internet mara nyingi, kila filamu ina rating kuna rating kama U, PG, 12, 18 etc.
Filamu zenye rating za U ina maana yoyote anaweza kuangalia.
PG ni miaka 8 kuendelea ila mzazi inabidi awepo ama wewe mwenyewe uamue aangalie ama asiangalie, kwenye pg kunaweza kuwa na maswali ambayo wewe umjibu mtoto,
Zilizobakia hizo za no 18, 16, 13 etc weka mbali na watoto.
Kwa uhakika zaidi google jina la filamu na neno parental review kwa mbele.
Ngoja niipitie now.. ahsanteKatuni nyingine siyo mfano Series ya AVATAR LEGEND OF KORRA, huyo star mwenyewe wa hiyo animation ni lesbian