WataachaShule ya Sekondari ya Mazinge (Mazinge Secondary School) ipo katika Mkoa wa Shinyanga, Wilaya ya Shinyanga Mjini (Shinyanga MC), kwenye Kata ya Ndembezi.
Ni shule ya serikali ya mchanganyiko (wavulana na wasichana) kwa ngazi ya Kidato cha Kwanza hadi cha Nne (O-Level) yenye namba ya usajili S3415.
Wanafunzi wake ndio kama hivyo , mauno kama yote, wazazi wapo wanauza mchicha na dagaa kusomesha wakata mauno
View attachment 3676164
Huyu jamaa ni mshamba. Mimi nimesoma skul madisco kila mwezi na ukiacha kubambia dem unalambwa viboko na tulikuwa tunabutua class kama kawaida mbona kawaida sana hiyoShule ya Sekondari ya Mazinge (Mazinge Secondary School) ipo katika Mkoa wa Shinyanga, Wilaya ya Shinyanga Mjini (Shinyanga MC), kwenye Kata ya Ndembezi.
Ni shule ya serikali ya mchanganyiko (wavulana na wasichana) kwa ngazi ya Kidato cha Kwanza hadi cha Nne (O-Level) yenye namba ya usajili S3415.
Wanafunzi wake ndio kama hivyo , mauno kama yote, wazazi wapo wanauza mchicha na dagaa kusomesha wakata mauno
View attachment 3676164
Hapo ni Cheng Mzumbe?Shule ya Sekondari ya Mazinge (Mazinge Secondary School) ipo katika Mkoa wa Shinyanga, Wilaya ya Shinyanga Mjini (Shinyanga MC), kwenye Kata ya Ndembezi.