Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,522
Nimekua nikiichakata K ya demu mwenye asili ya Bukoba kwa Miaka minne sasa (2021-2025)AWAMU YA SITA nimeielewa na nataka kuoa. Ila nilipowashirikisha Nyumbani wameweka ngumu.saada tafadhali
Hawatak upewe katerero?Nimekupa naichakata K ya demi mwenye asili ya Bukoba. Sasa nimeielewa na nataka kuoa. Ila nilipowashirikisha Nyumbani wameweka ngumu.saada tafadhali
How?Wapo sahihi
How?
Mkuu. Kama orodha yako haina Mnyaki basi ni batili! 🚮 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Wapo sahihi; ila kama muoaji una haki ya kikatiba kukataa, na baadae kujiunga na kataa ndoa!
Kama unaweza jipunguzie shida kwa:
1. Kutooa Mnyiramba.
2. Kutooa Mhaya.
3. Kutooa Mrangi.
4. Kutoa Mbulu.
5. Kutooa Mmachame!
Sio wote wabaya, ila chances kubwa ya wanawake wa hayo makabili aisee ni Matatizo!
Kwa kuwakwepa utakuwa umepunguza kwa asilimia kubwa chances za:
1. Kuishi na mchawi.
2. Kuishi na mshirikina.
3. Kuishi na maigizo ya kilokole.
4. Kuishi na Malaya.
5. Kuishi na wapenda fedha.
Kwani Demi mwenyewe anasemaje?Nimekupa naichakata K ya demi mwenye asili ya Bukoba. Sasa nimeielewa na nataka kuoa. Ila nilipowashirikisha Nyumbani wameweka ngumu.saada tafadhali
Mkuu. Kama orodha yako haina Mnyaki na Mchaga basi ni batili 🚮 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Vijana mkishapewa uchii mnaacha ku reason.
Usipowasikiliza wazazi litakukuta jambo huko mbeleni.
Reasoning yako haitakiwi ijikite kwenye kuangalia tabia pekee za huyo Binti. Inatakiwa iende beyond.
Asili ya mtu Huwa inaanza kujionesha after some years, like 5, 10 or 15 mkiwa tayari mshazoeana na mshazaa watoto ambapo Kila mtu anataka a install values za asili yake kwa watoto. Hapo ndipo utakapoanza kuimba ule wimbo kwamba majuto ni mjukuuu.
Oooh!Ongeza Kaka, sitaki Dhambi ya kundi ambalo Sina uzoefu nalo, wachaga nawafaham, na wamewakilishwa na WA Machame hapo, ila nimekutana na WA Rombo wazuri tu,
Ongeza list Kaka!
Mrangi je?Mkuu. Kama orodha yako haina Mnyaki basi ni batili! 🚮 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Ongezea na wewe. Katiba inakuruhusu mkuu 😂Mrangi je?
Anaye oa ni wewe sio wao.. Labda wakupe strong reasons. Lakini mwisho wa siku ndoa ni ya wawiliNimekua nikiichakata K ya demu mwenye asili ya Bukoba kwa Miaka minne sasa (2021-2025), nimeielewa na nataka kuoa. Ila nilipowashirikisha Nyumbani wameweka ngumu.saada tafadhali
Asante Studio!Ongezea na wewe. Katiba inakuruhusu mkuu 😂
Wapare nao hawawatakiAnaye oa ni wewe sio wao.. Labda wakupe strong reasons. Lakini mwisho wa siku ndoa ni ya wawili