tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,307
Mkuu we acha tu, wengine mitusi utakuta mtoto anatukanwa kwa laana zote ulimwengunikati ya wazazi wapumbavu ni wanaotoa vipigo vikali kwa watoto wao!
hivi unaanzaje kumburuza mtoto.
very stupid.
wamama wa kambo ndo balaa tu, wanapiga watoto kama nyoka!
katoto kadogo kananyukwa kama mwizi..
ukienda mashuleni walimu nao wanapiga watoto kama kitu gani.
hawa wanaotoa vipigo kwa watoto hasa wadogo Wanatakiwa wakamatwe na waadabishwe kwelikweli.
ningekuwa na hayo mamlaka ningewakomesha haswaaa haswaaa!
kwanini upige watoto??????
sipendi kabisa uonevu na mambo ya kikoloni.
kuna mama mmoja aliokota mtoto chokoraa akaanza kuishi nae.Kuna wazazi wana mitabia ya ajabu sana kama mashetani vile.
hao wazazi / walezi wa hivyo ni wapumbavu tu.Mkuu we acha tu, wengine mitusi utakuta mtoto anatukanwa kwa laana zote ulimwenguni
nilifika mahali nikakakuta katoto ka kiume kalichookotwa kanalelewa hapo na huyo mama.Hakuna watu waelewa kwa vitendo kama watoto hata hakuna haja ya kutumia nguvu nyingi kabisa wanaopiga watoto kama jambazi nawashangaa sana
kati ya watu wanaohitaji kulindwa kwa nguvu zote ni watoto!Kumchoma moto mtoto???!!...kumfukuza ndani, kumnyima chakula??!
Asee huu sasa uonevu.
Kuna baba mmoja alikuwa anakaanga vitumbua na kumpa bintiye akauze siku moja wajanja wakachukua vitumbua kadhaa na kutokomea bila kumlipa yule mtoto, asee alivyorudi home babake akamfukuza. Yule binti alirudi home kwao after six yrs akiwa na watoto wawili.Kuna wazazi wana mitabia ya ajabu sana kama mashetani vile.
Kuna mama mmoja wa kambo aliwahi kumfunga mtoto wa mumewe kamba kwenye uume eti asikojoe, mwanaume mtoto wako akilelewa na mama wa kambo uwe makini.kati ya wazazi wapumbavu ni wanaotoa vipigo vikali kwa watoto wao!
hivi unaanzaje kumburuza mtoto.
very stupid.
wamama wa kambo ndo balaa tu, wanapiga watoto kama nyoka!
katoto kadogo kananyukwa kama mwizi..
ukienda mashuleni walimu nao wanapiga watoto kama kitu gani.
hawa wanaotoa vipigo kwa watoto hasa wadogo Wanatakiwa wakamatwe na waadabishwe kwelikweli.
ningekuwa na hayo mamlaka ningewakomesha haswaaa haswaaa!
kwanini upige watoto??????
sipendi kabisa uonevu na mambo ya kikoloni.
Teh! Kuna mwingine mtoto haitwi kwa jina lake ni mwendo wa mbwa, paka, punda acha kabisa.Mkuu we acha tu, wengine mitusi utakuta mtoto anatukanwa kwa laana zote ulimwenguni
Aisee inakera sana.kuna mama mmoja aliokota mtoto chokoraa akaanza kuishi nae.
katoto kadogo kana miaka nane hivi..
kanatumikishwa, kanabebeshwa maji, kanadeki nyumba, kanafagia uwanja, kanapigwa vipigo vikali vya mbwa mwizi..
yani hawa watu ningekuwa na mamlaka ningewatia adabu ya uhakika.
watoto wanaelekezwa, watoto wanahitaji upendo!!
mamlaka zinazohusika na watoto waangalie hili swala, watoto wanapigwa sana!!
kamata hayo majitu peleka mahakamani.
kwanini upige watoto wadogo???
Yawezekana na wao walilelewa hivyo basi wanajua mwendo ndio huo huo!Hakuna watu waelewa kwa vitendo kama watoto hata hakuna haja ya kutumia nguvu nyingi kabisa wanaopiga watoto kama jambazi nawashangaa sana
Teh teh! Hg ndio mlezi.nawahurumia sana watoto wa zama hizi, maana wazazi wengi siku hizi ni mwendokasi upstairs.