as far as I am concerned kila mtu anajua mapenzi mazito. kitu muhimu ni "chemistry" ikiwepo ufundi utajitokeza wala huhitaji kufundishwa na mtu. na raha nayo utaiona hata pale ambapo mtu mwingine haelewi kwa nini unaona raha. kemia ikiwepo, basi hata ukimwona huyo umpendae mwili wote unakuwa tayari kwa mapenzi. Lakini kama hakuna kemia hata mtu atoe nguo waweza kuona kichefu chefu badala ya nyege...
Kwa kifupi hakuna cha wabara, wala wazenji, wazungu wala weusi wenye kujua mapenzi kuliko wenzao......
That's just me.