Wazanzibari mnajaa sana bara, kulikoni?

Bangoo

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
5,597
1,005
Wa zanzibar wanaoingia bara ni wengi kuliko mikoa yoote ya Bara.

Ebu angalieni kama
kama kwenye meli moja wako wa zanzibara 200 wanaotoka bara kwenda znz je? Ni meli ngapi huenda znz kwa siku?
Hii inamaanisha kwamba wa zanzibar wanaingia bara zaidi kuliko wabara wanavyokwenda znz

Je wanaotaka tuvunje muungano hawa ndg zao watakuwa wanaenda wapi?

Ktk mikoa yoote ya bara 26 hakuna wanaokuja dar kama wazanzibari.
 
ngoja muungano uvunjike watakuwa wanaingia na passport
 
Hakika ukivunjika watakiona cha moto!
Dar ndo mjini kwao.
 
Hio inaonesha wanavochapa kazi nyie lalamikeni tuuu!!!! Hata ije passport tutakata hio passport na tutakuja haijalishi
 
Wa zanzibar wanaoingia bara ni wengi kuliko mikoa yoote ya Bara.

Ebu angalieni kama
kama kwenye meli moja wako wa zanzibara 200 wanaotoka bara kwenda znz je? Ni meli ngapi huenda znz kwa siku?
Hii inamaanisha kwamba wa zanzibar wanaingia bara zaidi kuliko wabara wanavyokwenda znz

Je wanaotaka tuvunje muungano hawa ndg zao watakuwa wanaenda wapi?

Ktk mikoa yoote ya bara 26 hakuna wanaokuja dar kama wazanzibari.

Dar-es-salaam pekee kuna Wazanzibari 300,000 - Dar kuna Maarashi ya Karafuu...

Kuna Gas, Uranium, Coal, Iron, GOLD, Diamond... Kunapendeka...

Hakuna CHUKI ni Mapendano tu...
 
Hapo ndo utagundua wazanzibari wengi wanaupenda muungano. Wenye uchu wa madaraka ndo wanataka kuwaburuza ili waonekane kwamba wengi hawaupendi. Itakula kwao
 
Dar-es-salaam pekee kuna Wazanzibari 300,000 - Dar kuna Maarashi ya Karafuu...

Kuna Gas, Uranium, Coal, Iron, GOLD, Diamond... Kunapendeka...

Hakuna CHUKI ni Mapendano tu...
Utabaki kuhesabu tu kuna almasi lulu zaabu ,nyumbani huna hata TV ,nyumbani huna hata redio ,nyumbani nyumba dongo juu nyasi ,wewe umebaki tuna zaabu ,lulu na almac ,Zanzibar nyumba zote umeme ,nyumba zote Tv nyumba zote bati ,nyumba zote redio nyumba zote watu wanakula wanashiba ,muungano umetufikisha pabaya.
 
hii thread jaman na hichi kipindi cha majonzi hamuoni mko against sana?
 
Utabaki kuhesabu tu kuna almasi lulu zaabu ,nyumbani huna hata TV ,nyumbani huna hata redio ,nyumbani nyumba dongo juu nyasi ,wewe umebaki tuna zaabu ,lulu na almac ,Zanzibar nyumba zote umeme ,nyumba zote Tv nyumba zote bati ,nyumba zote redio nyumba zote watu wanakula wanashiba ,muungano umetufikisha pabaya.
Mnakula mnashiba, na umeme bwerere bado unasema muungano umewafikisha pabaya? Mtu wa ajabu sana wewe.
 
Wa zanzibar wanaoingia bara ni wengi kuliko mikoa yoote ya Bara.

Ebu angalieni kama
kama kwenye meli moja wako wa zanzibara 200 wanaotoka bara kwenda znz je? Ni meli ngapi huenda znz kwa siku?
Hii inamaanisha kwamba wa zanzibar wanaingia bara zaidi kuliko wabara wanavyokwenda znz

Je wanaotaka tuvunje muungano hawa ndg zao watakuwa wanaenda wapi?

Ktk mikoa yoote ya bara 26 hakuna wanaokuja dar kama wazanzibari.

Hivi kumbe hujasikia/soma hotuba ya Dr. Shein hapo juzi alipokutana na wazee wastaafu wa huko Zanzibar. Alisema yeye ndio Rais wa visiwa hataki kusikia habari ya Uamsho, atahakikisha anaulinda Muungano kwa nguvu zake zote kwani hiyo ndio sera ya chama chake....:hat:

Habari nyingine iliyotia fora ni pale tume ya Warioba/Katiba ilipokwenda kule Makunduchi asilimia kubwa ya wananchi waliokuwa wanachangia maoni yao walikuwa wanataka muungano wa serikali MOJA....kabisaaa yani wanasema hizi mbili ndio tatizo...:hat:
 
" duh! usidanganye, ungefuatilia hizo habari vizuri ndio useme"
 
Utabaki kuhesabu tu kuna almasi lulu zaabu ,nyumbani huna hata TV ,nyumbani huna hata redio ,nyumbani nyumba dongo juu nyasi ,wewe umebaki tuna zaabu ,lulu na almac ,Zanzibar nyumba zote umeme ,nyumba zote Tv nyumba zote bati ,nyumba zote redio nyumba zote watu wanakula wanashiba ,muungano umetufikisha pabaya.

mkuu hujamalizia kwa kuelezea kwenye hizo nyumba zenye umeme, TV, bati hao watu wanalala wangapi wangapi, kila mtu na chumba chake au,
 
Hio inaonesha wanavochapa kazi nyie lalamikeni tuuu!!!! Hata ije passport tutakata hio passport na tutakuja haijalishi

mkuu mtakuja tena kufanya nini tena huku na huku nyie mnapaona hakuna cha maana? sisi tutakuja kwenu kwa passport kula urojo je nyie mkuu??
 
Back
Top Bottom