UKI
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 691
- 172
hayo maneno waambie wasiopajua Zanzibar nimeizunguka Unguja na Pemba hasa maeneo ya vijiji hapana tofauti na maeneo Kilwa Kivinje,Mingoyo Lindi na Msata,nyumba za makuti kwa udongo zipo kibao
tena afadhali unguja ukienda pemba bara bara ya kupita lorry hakuna ni njia ni nyembamba kule kunafaa iwe ni hifadhi ya taifa maana bado wako vile vile na hata huyu mkuu wa nchi wa zanzibar katokea huko namshangaa hata kwanini hapeleki maendeleo ya kutosha huko kabakia unguja tu.