wazenji wanataka maslahi yao. huo upumbavu wa bara zenji hautakiwi. wewe umeona wapi nchi tangu ipate uhuru mpaka leo raia wake wanahangaika na maji umeme na huduma kama hizi. mmetiwa upumbavu kiasi ambacho wazanzibar wakidai haki zao mnawaona wakorofi. wele wameaka kisiasa. nyinyi endeleeni kufuga mafisadi ,watu wanaiibia serekali watu mmelemaa tu. ingieni mtaani . mpaka leo mnatapeliwa na na kampuni hewa. zanzibar wamesha ona mbali , hou muungano haumnufaishi mzanzibar yeyote balaa tu. kila mtu aangalie maslahi yake . hakuna muungano wala nini. tumechoka . kutiana ukuba tu.Unajua ndugu zetu wa visiwani ifike hatua waache kutiwa ujinga na wanasiasa waroho wa madaraka...hivi milishawahi kujiuliza wabara wanapata nini kutoka kwenu hadi mlinge kiasi hicho??? Binafsi sijaonja hata ndululu kutoka visiwani sana sana najionea shida tu kila kukicha oo muungano unakasoro mara oo mafuta yetu nyie vipi kwani mmhh??!!!
Kama noma na iwe noma bwana wakati mwingine mnakera sana...tumewapa kila kitu serikali mnayo sasa kitu gani maana kama kulalamika tungeanza sisi kwa kudai serikali yetu cha kushangaza kila siku nyue...mi nawahakikishia suala la muungano linakuzwa na wanasiasa wachache wenye hila chini ya ulamaa mmoja simtaji kisa CCM inapata nguvu kwasababu ya huku na wakiwa pekee yao basi njia ya ikulu nyeupe....watu wengine na pasua kichwa kabisa msiwafuatishe bwana...muungano oyee!!!!!!!!
Mmh! baniani mbaya kiatu chake dawa!
wazenji wanataka maslahi yao. huo upumbavu wa bara zenji hautakiwi. wewe umeona wapi nchi tangu ipate uhuru mpaka leo raia wake wanahangaika na maji umeme na huduma kama hizi. mmetiwa upumbavu kiasi ambacho wazanzibar wakidai haki zao mnawaona wakorofi. wele wameaka kisiasa. nyinyi endeleeni kufuga mafisadi ,watu wanaiibia serekali watu mmelemaa tu. ingieni mtaani . mpaka leo mnatapeliwa na na kampuni hewa. zanzibar wamesha ona mbali , hou muungano haumnufaishi mzanzibar yeyote balaa tu. kila mtu aangalie maslahi yake . hakuna muungano wala nini. tumechoka . kutiana ukuba tu.
Hujui unachoongea wewe. Kuna sehemu nyingi tu duniani mishahara inategemea unapoishi. Tena mimi ninapendekeza mishahara iwe inapangwa na ofisi ya mkuu wa wilaya. Nukta.
hao ni wakina nani?tunataka makafiri warudi makwao kwani vita sio kumpiga mtu risasi peke yake?
Wazanzibari wanadai nchi si moja.mbona ina serikali yake,wimbo wa taifa na bendera.usitake kutwisha mzigo kwa bara.are u a realy grat thinker brother
tehe tehe tehe Muungano kweli hakuna......hatuzungumzii tanganyika hapo hapo ni huo muungano wa wizi?
tukisema muungano kuna haki yetu
basi tupeni sie serikali ya muungano nanyie muwe na tanganyika?
nguruwe wee!
unajifanya pumbafu au mjanja?
Punguza jazba yakhee,kwani weye ukiitwa Nguruwe utafurahii??,maana kauli zako ndo zimekaa kimdudumdudu tu..tehe tehehatuzungumzii tanganyika hapo hapo ni huo muungano wa wizi?
tukisema muungano kuna haki yetu
basi tupeni sie serikali ya muungano nanyie muwe na tanganyika?
nguruwe wee!
unajifanya pumbafu au mjanja?
dizaini jamaa atakuwa anakula mdudu sasa hivi ndio maana anamtaja tajaPunguza jazba yakhee,kwani weye ukiitwa Nguruwe utafurahii??,maana kauli zako ndo zimekaa kimdudumdudu tu..tehe tehe
Umestukia eeeh,anaonekana keshaathirika na kitimoto huyo,na mida anabandika post hiyo aidha alikuwa anakula ama ndo katoka kuigongadizaini jamaa atakuwa anakula mdudu sasa hivi ndio maana anamtaja taja
Message, sent!
Mie nimefilisika ila wewe, mawazo yako yanashabihiana na jina lako. Kwakuwa husomi katika ya misitari ndio taabu yako! Ujumbe ni kuwa Tanzania na Zanzibar ndani ni nchi 2 tofauti zenye uchumi usiofanana. Kuondoa hiyo tofauti, posti yangu ina maana ni kuwa na muungano wa serikali moja, ili zanzibar iwe mkoa kama ilivyo mikoa mingine!
WaTanganyika wanaona aibu kujiona ni Watanganyika hivyo wanang'ang'ania kuwa waTanzania wanasahau kuwa huwezi kuwa Mtanzania kama si Mtanganyika ila Mzanzibari anajilabu kuwa ni Mzanzibari na kunazuka kutoelewana unapomwita Mtanzania.
Ila mimi kubwa linaniuma ni kwa nini kuna tofauti kubwa sana kati ya mishahara ya wafanyakazi wa SMT na SMZ?
As long as hii ni nchi moja basi SMT ingetoa fungu kuziba hii tofauti..maana wote ni nchi moja na Bara wana uchumu mkubwa na watu wengi!!
Yaani ukiwa Mtanzania sekta ya umma Pemba au Mbinga basi mshahara uwe ni mmoja!
Punguza jazba yakhee,kwani weye ukiitwa Nguruwe utafurahii??,maana kauli zako ndo zimekaa kimdudumdudu tu..tehe tehe
Karume ile ndege iloenda kumchukua ilishindwa kabisaa kutuaa!!!Kuna fununu kuwa Wazanzibari hawatasheherekea Siku kuu ya Muungano na watakaoshiriki ni kuwaziba macho WaTanganyika ilihali ndani ya nyoyo zao si washiriki.
Umoja wa Wazalendo, unachukuwa fursa hii kukumbushana kwamba kusherehekea siku ya msiba mkuu huu, ni kusherehekea uovu huu, kitendo hicho ni ishara ya upungufu wa uzalendo na khiyana juu ya Zanzibar.
wazenji wanataka maslahi yao. huo upumbavu wa bara zenji hautakiwi. wewe umeona wapi nchi tangu ipate uhuru mpaka leo raia wake wanahangaika na maji umeme na huduma kama hizi. mmetiwa upumbavu kiasi ambacho wazanzibar wakidai haki zao mnawaona wakorofi. wele wameaka kisiasa. nyinyi endeleeni kufuga mafisadi ,watu wanaiibia serekali watu mmelemaa tu. ingieni mtaani . mpaka leo mnatapeliwa na na kampuni hewa. zanzibar wamesha ona mbali , hou muungano haumnufaishi mzanzibar yeyote balaa tu. kila mtu aangalie maslahi yake . hakuna muungano wala nini. tumechoka . kutiana ukuba tu.
Binafsi kama Mtanganyika, kama ni muungano basi uwe wa serikali moja
Sidhani hilo ni jepesi. Serikali tatu je?
Zanzibar wapewe hadhi yao kuendelea kuwa nchi. Hili ni la muhimu.
Imagine kwenye shirikisho la Afrika Mashariki Tanzania ijikute kwenye mazingira haya ya Zanzibar kwa Kenya