Wazanzibari kumbukeni Historia - Utumwa wa Kiarabu!

maggy

Member
Sep 25, 2010
24
18
Kumbukeni historia - nawashauri msitake kuruhusu Historia hii ya utumwa wa kiaarabu ijirudie.
Kumbukeni pia wale wote mlio na rangi nyeusi mmetokea Tanganyika!!!
 

Attachments

  • AfricanSlavesTransport.jpg
    AfricanSlavesTransport.jpg
    146.7 KB · Views: 53
  • Arabslavers.jpg
    Arabslavers.jpg
    51.1 KB · Views: 114
Wazanzibar, bora mtawaliwe na Mtanganyika kuliko mwarabu. Mwarabu atakuchapa kwa mijeledi na bado atakudidimizia mti
 
Unawatusi wazanzibari, kwani muungano ndio uliwatoa utumwani. Unajua hawa watu ni wa kuheshimiwa, ili tubaki na muungano.
 
Wacha kusema uongo wewe wapi umeona waarabu ndio waliosababisha utumwa ? Nenda Zanzibar utajuwa nani alikuwa anafanya hio biashara ya utumwa, ukifika zanzibar kwenye makanisa ya Mkunazini utakuta mule ndani makanisani ndio walikuwa wakihifadhiwa watumwa ? je yale makanisa yalijengwa na waarabu tena mpaka leo zile sanamu zipo kanisani wacheni kudanganya watu munawachukia waarabu kwa uisilamu wao na wala semeni jengine free zanzibar
 
ki historia hakuna hata mzanzibar 1 alieuzwa kama mtumwa, wa znz walikuwa wanapokea watumwa na kuwauza

Kumbukeni historia - nawashauri msitake kuruhusu Historia hii ya utumwa wa kiaarabu ijirudie.
Kumbukeni pia wale wote mlio na rangi nyeusi mmetokea Tanganyika!!!
 
Back
Top Bottom