Ukiangalia mkutano unaoendelea baina ya Rais Hussein Mwinyi na watumishi wa sekta ya afya nchini Zanzibar unavutia sana yaani watumishi wapo huru sana kuongea na kujenga hoja, yaani wapo flexible with confidence mpaka Rais Mwinyi anaishia kucheka tu huku akitikisa kichwa ishara inayoonesha anakubaliana na hoja za watumishi.
Niseme tu wazanzibar sio wanafiki wapo wazi sana katika kuelezea jambo.
Niseme tu wazanzibar sio wanafiki wapo wazi sana katika kuelezea jambo.