Wazanzibar wanaongea kwa uhuru sana na Rais wao mpaka Raha. Tanzania bara mnakwama wapi?

Mkuu unasahau tena huku Tanzania bara hata ukikanyagwa mguuni, haitakiwi useme umenikanyaga.
Mpaka yule aliyekukanyaga anyanyue mguu. Zanzibar wako imara sana na wana misimamo hawana muda wa kupepesa macho.
 
Si kweli kwamba walimchagua, lakini alipachikwa na uchaguzi feki kama walivyowekwa CCM wengine. Ila kwa mara ya kwanza wazanzibari baada ya kuona muelekeo wake, wanaelekea kumbkubali kutokana na uwezo na labda na vision alionayo kwa Zanzibar.
Ahahahahahahahaj! Kuwa nyumbu raha sana! Ahahahahahahahaha!
 
Ahahahahahahahaj! Kuwa nyumbu raha sana! Ahahahahahahahaha!
na kuwa mataga pia ni kichekesho πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Amekulia ikulu kama Uhuru Kenyatta, anajua kuongoza nchi na mifumo yake!

Au nasema uongo ndugu zangu?
Vitu vingine wala sio vya kushangaza, wewe mtu amekulia kwenye kuchunga ng'ombe huko, na amekulia kwenye maisha ya kimasikini uje utegemee atakuwa na utu?!!ni wachache sana, siku zote mtu mwenye fikra za kimasikini huwa ni mbaya sana!!
 
Kikubwa 100% inachangiwa na imani yao,Ukimpata kiongozi Muislam mwenye kumuogopa M/Mungu mtaishi kama mbinguni na hata unafiki hauwezi kuwepo kama hao watumishi na kiongozi lzm awe msikivu maisha ya dunia huwa hayamuhadai muislam mwenye imani lkn ukija kwa ndugu zetu wa imani nyingine dunia inawahadaa wanapenda umungu mtu na hata ukirefer tawala zilizotawala nchi hii utajifunza kitu ktk tawala za kiislam.
Yaani wewe umekosea Sana,
Kwani huo upande wako mnamwabudu Mungu?
 
Kikubwa 100% inachangiwa na imani yao,Ukimpata kiongozi Muislam mwenye kumuogopa M/Mungu mtaishi kama mbinguni na hata unafiki hauwezi kuwepo kama hao watumishi na kiongozi lzm awe msikivu maisha ya dunia huwa hayamuhadai muislam mwenye imani lkn ukija kwa ndugu zetu wa imani nyingine dunia inawahadaa wanapenda umungu mtu na hata ukirefer tawala zilizotawala nchi hii utajifunza kitu ktk tawala za kiislam.
Laiti angekuwa kiongozi wa kwanza wa kiislamu duniani, tungekuamini.

Amandla...
 
Wanavyoongea wale watumishi wa afya mbele ya Mwinyi..ingekuwa kwa hili Jiwe letu lililomshinda muwashi basi wale watumishi wangetekwa mmoja mmoja na baade tungeokota maiti Coco beach kwenye viroba
πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwakweli nilikuwa nataka kupita bila kukomenti lakini wewe jamaa umenifanya nimekomentiπŸ˜…
 
Huyu mwingine anajua kila kitu hivyo haoni sababu ya kumsikiliza mtu
Wanavyoongea wale watumishi wa afya mbele ya Mwinyi..ingekuwa kwa hili Jiwe letu lililomshinda muwashi basi wale watumishi wangetekwa mmoja mmoja na baade tungeokota maiti Coco beach kwenye viroba

Hivi hiyo ya kuwaita wanananchi na kusikiliza kero zao si ni yeye (Magu) ndiye aliyeanzisha?
 
Back
Top Bottom