Wazanzibar wanaongea kwa uhuru sana na Rais wao mpaka Raha. Tanzania bara mnakwama wapi?

Kikubwa 100% inachangiwa na imani yao,Ukimpata kiongozi Muislam mwenye kumuogopa M/Mungu mtaishi kama mbinguni na hata unafiki hauwezi kuwepo kama hao watumishi na kiongozi lzm awe msikivu maisha ya dunia huwa hayamuhadai muislam mwenye imani lkn ukija kwa ndugu zetu wa imani nyingine dunia inawahadaa wanapenda umungu mtu na hata ukirefer tawala zilizotawala nchi hii utajifunza kitu ktk tawala za kiislam.
Udini umekujaa ...wala Hatumo huko
 
Ukiangalia mkutano unaoendelea baina ya Rais Hussein Mwinyi na watumishi wa sekta ya afya nchini Zanzibar unavutia sana yani watumishi wapo huru sana kuongea na kujenga hoja , yaani wapo flexible with confidence mpaka Rais Mwinyi anaishia kucheka tu huku akitikisa kichwa ishara inayoonesha anakubaliana na hoja za watumishi.

Niseme tu wazanzibar sio wanafiki wapo wazi sana katika kuelezea jambo.
Ni kweli, alichobakiza ni kuwaponya wahanga wa 28.10.2020 na kuwaachia huru mateka wa kisiasa na wale wa UAMSHO, hapo atakuwa kamaliza kazi
 
Kikubwa 100% inachangiwa na imani yao,Ukimpata kiongozi Muislam mwenye kumuogopa M/Mungu mtaishi kama mbinguni na hata unafiki hauwezi kuwepo kama hao watumishi na kiongozi lzm awe msikivu maisha ya dunia huwa hayamuhadai muislam mwenye imani lkn ukija kwa ndugu zetu wa imani nyingine dunia inawahadaa wanapenda umungu mtu na hata ukirefer tawala zilizotawala nchi hii utajifunza kitu ktk tawala za kiislam.

Umenena
 
siku zote mtu mwenye fikra za kimasikini huwa ni mbaya sana!!

Sio siku zote, labda useme mara nyingi.

Kwani wapo waliokulia kwenye shida na umaskini lakini wakipata madaraka hukumbuka shida na umaskini waliopitia na wasingependa kuona watu wakipitia shida alizopitia yeye, kwa maneno mengine shida alizopitia zinakuwa kama darasa na hamasa kukabiliana na shida za wengine na
hiyo inategemea aina ya mtu mwenyewe.
 
Kikubwa 100% inachangiwa na imani yao,Ukimpata kiongozi Muislam mwenye kumuogopa M/Mungu mtaishi kama mbinguni na hata unafiki hauwezi kuwepo kama hao watumishi na kiongozi lzm awe msikivu maisha ya dunia huwa hayamuhadai muislam mwenye imani lkn ukija kwa ndugu zetu wa imani nyingine dunia inawahadaa wanapenda umungu mtu na hata ukirefer tawala zilizotawala nchi hii utajifunza kitu ktk tawala za kiislam.

Ni huo 'ucha Mungu' ndio pia umeruhusu wizi wa kura za maalim?
 
Ukiangalia mkutano unaoendelea baina ya Rais Hussein Mwinyi na watumishi wa sekta ya afya nchini Zanzibar unavutia sana yani watumishi wapo huru sana kuongea na kujenga hoja , yaani wapo flexible with confidence mpaka Rais Mwinyi anaishia kucheka tu huku akitikisa kichwa ishara inayoonesha anakubaliana na hoja za watumishi.

Niseme tu wazanzibar sio wanafiki wapo wazi sana katika kuelezea jambo.

Tz bara "ilipinda" kama upinde na inatakiwa inyooshwe bila ganzi na Dokta asiyeangalia mgonjwa usoni.🤣.

Sura mbuzi tu.
 
Wabongo kulalamika na kejeli ndio zetu
Hakuna kiongozi duniani anaemzidi magufuli,kwa kuongea na wananchi na kutatua kero.
Magufuli anasafiri kwa kutumia barabara,haoni tabu kushuka kuagiza muhindi anauliza kero,anapiga simu live kwa waziri
Magufuli haoni tabu kumtumbua mkurugenzi huku akiwa njia panda ya himo anakula mishikaki.
Anachofanya Hussein Mwinyi,ni matokeo ya mafunzo ya stadi za urais alizofundishwa na Magufuli
Kumbukeni wakati wa kampeni,Hussein Mwinyi alisema kwenye uongozi wake atafuata style ya magufuli,na kweli anatumbua!
 
Kikubwa 100% inachangiwa na imani yao,Ukimpata kiongozi Muislam mwenye kumuogopa M/Mungu mtaishi kama mbinguni na hata unafiki hauwezi kuwepo kama hao watumishi na kiongozi lzm awe msikivu maisha ya dunia huwa hayamuhadai muislam mwenye imani lkn ukija kwa ndugu zetu wa imani nyingine dunia inawahadaa wanapenda umungu mtu na hata ukirefer tawala zilizotawala nchi hii utajifunza kitu ktk tawala za kiislam.
Naona umeanza uamsho
 
Mimi niseme tu ukweli hili la upande mwingine ni taahira halikuchunguzwa vizuri tu kwenye vetting lisingefika hapo lilipo. Msemakweli mpenzi wa Mungu, au nasema uongo ndugu zangu?
 
Wabongo kulalamika na kejeli ndio zetu
Hakuna kiongozi duniani anaemzidi magufuli,kwa kuongea na wananchi na kutatua kero.
Magufuli anasafiri kwa kutumia barabara,haoni tabu kushuka kuagiza muhindi anauliza kero,anapiga simu live kwa waziri
Magufuli haoni tabu kumtumbua mkurugenzi huku akiwa njia panda ya himo anakula mishikaki.
Anachofanya Hussein Mwinyi,ni matokeo ya mafunzo ya stadi za urais alizofundishwa na Magufuli
Kumbukeni wakati wa kampeni,Hussein Mwinyi alisema kwenye uongozi wake atafuata style ya magufuli,na kweli anatumbua!
Kuna watu hawatafanikiwa kwa sababu ya roho mbaya tu .....H.Mwinyi alitangaza wazi kuwa atatumia style ya Magufuli na kweli kila anachofanya ni mtindo ni Kama Magufuli II ........CCM wamefanikiwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom