Sikutaka nikujibu ila nimelazimika ili nikukumbushe kama umesahau. Hivi kweli ndg yangu unapata ujasiri wa kuzungumzia chuki za kidini huku Tanganyika wakati unajua kabisa kuwa ni tatizo pia hapo Zanzibar, hivi unataka kutuambia kuwa hujasikia mashekhe kuuawa, mapadri kuuawa, kumwagiana tindikali? hapo Zenj.
Kwa taarifa tu fahamu kama hutaki unaacha tatizo la nchi yetu sio chuki za kidini, ni wale waliofeli tu au wanaojifanya vipofu ndiyo wanasema tatizo ni dini, only the foolish will argue like that. Matatizo yako ktk eneo la kupigania madaraka na hot cake ya taifa. Hujiulizi kwanini masuala magumu yanayogusa wananchi hayajadiliwi kwa mihemuko katika vijiwe, na kama ikitokea issue ambayo ni nzito inagusa maisha ya watu basi linaibuka suala ambalo linahamisha mjadala, everything ni planned, hebu jaribu kufikiria kwa umakini kwenye mfano huu hata kama hautakufurahisha try to think out of the box, Rasimu ya pili ya KATIBA YA NCHI ilipotoka tu (HOT ISSUE FOR THE NATION and our generation fifty years to come), ndipo unaibuka mjadala wa Zito na CDM, kila mtandao unajadili hiyo issue badala ya KATIBA YA NCHI, issue inapoa tunarejea kwenye maisha yetu ya kawaida, yaani tumebaki na manyoya kuku kaliwa.
Je, unaweza nitajia wapi ilitokea Mtanzania kamla Mtanzania mwenzake na ilikuwa mwaka gani katika karne ya 21? au umeamua kunitukana tu!!!Lakini kibaya zaidi nawe bila hata kutafakari unaanza kunitukana tena, sawa ndg yangu inawezekana wewe ulilelewa hivyo. Lakini kosa langu ni lipi hasa mpaka unanitukana? mbona hulisemi!!!!
Yaani kati ya jamaa wenye
kustaajabisha humu-
JF,basi weye ni mmoja wao!? Hivi weye ndo kweli unajiita "msomi" kweli,mbona una hoja za kitoto namna hii Mkuu!? Dah!
Awali ya yoote hapo nili-
BOLD kwenye hiyo bayana yako...sasa mbona warejea tena
kutukana ilhali weye ulilalama mno yakuwa ati Mkuu
Ritz amekutusi!?
Au kwakuwa labda umeamua kuandika kwa "kithungu" ndo wafikiri sisi hatujui maana yake!? Sasa hao ulokusudia kuwaita ati ndo
"wapumbavu" ndo kina nani!?
Yaani weye kwa fikra zako kiduchu,basi wakhis kila mwenye
mitazamo tafauti na weye ndo
fools,sio!?
Sasa kutokana na hizo hoja zako
dhaifu mno...yaani mpaka yanilazim kukuonea
huruma!? Dah! Teeh! Teeh! Teeh!
Nakuuliza,je waeza kutupatia
ushahidi yakinifu hapa hapa jamvini...kabla ya Zanzibar kuruhusu nyinyi
Watanganyikwa kutembelea Visiwa vile vya amani bila ya
Vibali/Passport,ulishawahi kusikia yakuwa Zanzibar pana
Ujambazi au
Mzanzibary ati ameuwawa kwa kuporwa mali zake au kuibiwa kwa nguvu!? Jibu hapana kabisa!
Takwimu takriban zoote za Jeshi la Police hapo nchini,zaonyesha yakuwa wezi/majambazi woote wafanzao uhalifu/mauaji ndani ya Visiwa vya Zanzibar...basi inakua ni Wabara/Watanganyikwa,kwa njia moja amma nyangine!
Hayo masuala ya
milipuko ya mabomu kwenye mikusanyiko/mihadhara ya kidini Arusha na kwingineko,kuuwawa kwa Viongozi wa kidini,kuuwawa kwa Waaandishi wa habari,ubadhilifu ulokubuhu wa mali za umma,rushwa ilokithiri kwenye vyombo vyoote vya Serikali,
ukabila,upendeleo wa
kidini na
Islamophobia ilokubuhu...na unyama mwangine mwingi mno! Hivi vyoote huko Tanganyikwa ndo pahala pake! Dah!
Yuwapi leo Daudi Mwangosi,vipi yalomkuta yule mpuuzi Kibanda,yuwapi leo hii Dr Mvungi wa
Tume ya Katiba uloitaja!?
Umesahau nyinyi Watanganyikwa mmefikia ubaguzi wa kidini mpaka mnachinjana/kuuwana ati tu kwa tafauti za kuchinja ng'ombe na majogoo!? Duh! Teeh! Teeh! Teeh!
Huo baguzi wa makabila na kidini huko
Tanganyikwa mbona ndo
chimbuko na
asili yake,ndani ya
Muungano huu wa dhuluma! Dah!
Embu angalia jinsi ndugu zenu watoanavyo roho kwa kugombania mifugo na hata pia kugombania ardhi za kulishia mifugo na vyanzo vya maji pia!...Mkoa wa Mara,Mwanza,Arusha,Singida,Manyoni na kwingineko kwingi mno! Dah!
Hivi majuzi kule Mahenge,Malinyi,Ulanga na takriban Ifakara yoote...yaani palitokea
mauaji ya kinyama na ya kutisha kati ya Wandamba na Wasukuma!
Walikufa Watanganyikwa wenzio kumi na nane-18! Ililazim hata
IGP ende kule kwa haraka mno na kujaribu kufanza suluhu...majeshi yenu-
JWTZ yaliyopo mikoa jirani na ile
Morogoro yaani ililazim pia yawekwe
on standby,just incase!
Hivi weye
Mwakaboko unaishi wapi lakini Mkuu!? Duh!...hivi hujui yakuwa nyinyi
Watanganyikwa mpaka kesho mmeingia on
Guiness World Book Of Records...yaani nyinyi/wewe ni mojawapo ya
society chache zilosalia hivi leo duniani humu ambazo mnafanza maungo ya
Watanganyikwa wenzenu-
Albinos ati ndo kitoweo!?...yaani
Cannibalism! Dah!
Sasa kama weye wajifanza kukaidi...embu tufahamishe hapa Barzan,baada ya kuwakatakata viungo/kuwauwa wale
Albinos maskini wasio na hatia,huwa mnafanzia nini nyama ile kama si
kitoweo!? Teeh! Teeh! Teeh!
Ndo maana Mkuu
Mwakaboko,hata
mie binafsi nakuogopa mno!...maana nakhis pindi ukiamua basi waezanifanza ni
kitoweo chako tu!? Duh! Maana hizi ndo mila na dasturi zenu nyinyi Watanganyikwa,mumerithi toka kwa Mababu zenu!!
Sasa unadai yakuwa ati chuki za kidini "hakuna" asilan huko
Tanganyikwa!? Duh! Embu punguza
unafiki japo kiduchu!!
Kwa hiyo hao
Watanganyikwa wenzenu
Waislam....wenye kujaribu kudai
haki zao kila kukicha,weye unawaona woote ndo
vipofu na
wamefeli sio,yaani kama ulivyoandika kwenye hiyo argument yako
dhaifu!?
Hivi weye huoni
malumbano ya kidini,matusi,kashfa,tashtit na vitisho siku zoote humu-
JF,tena takriban panapo kila
thread ianzishwayo baina ya mainly
Watanganyikwa ati ndo wajiitao Wakristo/
Magalatia na wenzao
Waislamu!?
Hivi hufahamu yakuwa
Public Forums kama hizi,ndo vipimo khalis na pia
reflection ya
society!?
Sasa ikiwa humu tu ndani ya hii
JF hali ni mbaya mno,na
Islamophobia imetalaki takriban penye kila kona/thread...je huko kwa walalahoi/
Watanganyikwa khalis kukoje!? Au weye
Mwakaboko wapenda kuishi ndani ya
false hope...I mean your little comfy bubble!? Teeh! Teeh! Teeh!
Hivi hufahamu yakuwa hiyo mijadala uloitaja kwenye hiyo bayana yako chovu...yaani Zitto Kabwe,Chadema na utumbo mwangine,mara ngapi imezusha malumbano ya kidini humu-JF na kwingineko na pia kusababisha threads kadhaa kufungiwa takriban kula kuicha! Dah!
Kwa kifupi...nina mifano chungu tele/volumes of strong evidences kuhusu unyama mwingi mno na ubaguzi ulokithiri huko Tanganyikwa...lakini sina wakti,pia nakhis hakuna haja asilan kuendeleza kukunyambua!?
Weye kama
Mtanganyikwa...basi yatakiwa uwe wa mwisho kwenye hili game la
finger pointing,ulolianzisha dhidi ya
Zanzibar na
Wazanzibary,Ok!?
Fujo,zogo,farka,migongano na mangineyo kiduchu yaliyopo pale Zanzibar khasa kwenye
Local Politics...ni wimbi tu kiduchu la mpito kwenye kikombeni,na asilan halimfanzi
mnywaji kushtushwa! Teeh! Teeh! Teeh!
Pia yajulikana wazi...dhahir bin shahir,yakuwa hizi chochoko zoote ndani ya jamii yetu ya
Kizanzibary,basi huratibiwa,kufadhiliwa na kushadidiwa na nyinyi
Watanganyikwa madhalim kama akina
Mwakaboko na
vikundi vyenu vyenye madhumuni/malengo
machafu kwa takriban
Taifa zima la
Tanzania! Dah!
Ahsanta.