Wazanzibar muungano tutaununua...

Wazanzibar muungano tutaununua...

Status
Not open for further replies.
Mm! Mimi naona kana kwamba wazanzibari hawajajua ni wazanzibari wangapi wameajiriwa katika mfumo wa muungano na hawajafikiria how these fellows will be accommodated in their new government. Lakini yote mema zuri zaidi linabaki kuwa serikali tatu au kuvunja blur blur za the so called union of Tanganyika na Zanzibar
 
So called Makame,
Unasubiri marejesho gani?
So hivyo ndivyo mnavyotafuta maisha, yaani waondoke mrithi mali zao, tamaa ya fisi kusubiri mkono udondoke? Au.mwafaniyie ujambazi muwapore mapato yao?

Yaani nyinyi badili ya kusema na nyinyi mujitahidi mujitume angalau muwafikie wao mnapanga mipango ya kuwafukuza ili mpate mali zao walizochuma. Kwanza kwa nini kabla ya kuja wao msifanye wenyewe mkajitajirisha mkawa na nguvu hata za kuwazuia wasiingie hapo?

Hii ni dhahiri kama muna mawazo mgando na katika kipindi cha miaka 50 tokea kuondoka mkoloni wa Kiingereza mumeshindwa ku enjoy matunda ya Uhuru.

Mjadala huu anagalikuwa mmoja wa Wakoloni au mtoto wao wa Kizungu aliesoma ile Teleology hakika anagalisema ile kuwa ni kweli yale walileta hiyo nadharia wako vindicated. Teh teh teh gombesugu, Ritz, kahtaan, wabara

Mkuu Khawarizm,

Nimekusoma!

Huyo ajiitae ati ndo Makamee...wala si Mzanzibary na wala hana asili ya Zanzibar!

Kwa kifupi wala asikushughulishe asilan...sisi ndo wenyewe twajijua hata kwa mazungumzo na nasaha zetu!

Huyu nakhis itakua ndo wale Wanyamwezi wa Makanisa ya pale Dole na Mwakaje!? Dah!

Au weye Makamee ndo yule Msu-k.u.m.a Pasco!? Looh! Teeh! Teeh! Teeh!

Ahsanta.
 
Tena Mkuu mjipange kwelikweli vinginevyo msijetoa machozi mtakaposikia "Amri ya Masaa 48". Ni ushauri tu.

Labda niulize tu mkuu, kuvunjika kwa muungano ndo kwamba wazanzibar wasiishi bara na wa bara wasiishi znz?

Mana kuna wazanzibar wengi tu, na hata watanzania wanaishi sehemu mbalimbali duniani, wanosoma, wanofanya kazi, nk. Na wala hatujaungana nao.

Sasa iweje iwe ya kupewa masaa 48?

Kwani hata znz pia wa bara mbona wako wengi tu wanachumia maisha yao? Ingekua tanganyika imekamilika basi wasingejazana watanganyika tele znz? Tena cha ajabu wanakaa katika makazi duni kabisa, wanazaliana kila kukicha, na hawana ham hata ya kurudi kwao bara.

Ni suali tu mkuu?
 
Usiwe m-p-umbavu wa kukaririshwa maneno,zanzibr ilikuwepo kabla ya muungano huu wa magumashi,nyerere kwani ni nani?yeye ndio kaja kuuwa zanzibr ili lengo la kanisa lifanikiwe.

Kumbe mnauvunja muungano kwa sababu za kidini???
Mnafikiri kwa kutumia nini???

Hamjui kwamba hata Saud Arabia kunawakristu na watu wadini tofauti na hiyo??

Kuvunja muungano kwa sababu hiyo ni Ukosefu na ufinyu wa akili mno.
 
Angalau umekiri "kipindi kile" hamkuweza kujisimamia kama nchi na hilo halina ubishi. Lakini tatizo linakuja pale ambapo baadhi yenu hamuishi kuitukana Tanganyika kila uchao pamoja na fadhila zote mlizotendewa. Chini ya mbingu ni mahali gani ambapo mZanzibari anaishi kwa uhuru tena bila nyaraka zozote za uraia kama Tanganyika? Ni wapi anapoweza kumili rasilimali zikiwamo ardhi, biashara, na nafasi nyingine za ajira kama Tanganyika?

Ni wapi pengine mZanzibari anaweza kuwa hadi Rais wa nchi, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Waziri, mbunge, na nafasi nyingine lukuki za uongozi kama Tanganyika? Ni Uarabuni? Ulaya? Marekani? Uchina? Ushelisheli? Labda Mzee Barubaru atatuhadithia huko Oman aliko ana nafasi gani ya uongozi wa nchi ile ya kufikia. Au ni wapi Afrika ambako hilo linaweza kutokea? Hiyo nchi haipo na haitakaa iwepo baada ya Muungano huu ambao kimsingi umefikia "point of no return".

Nakubaliana na wewe kwamba mtoto akikua anastahili kuachwa ajitegemee; sawa, ila kinachokera ni jinsi mtoto huyu mpu.mba.vu tena wa kufikia asivyo na adabu kwa mzazi wake aliyemlea kwa jasho na damu. Kama wewe una dini naamini unajua dini zinasemaje kuhusu mtoto wa aina hii! Laana i miguuni pake!

yaani we unasikiliza mawazo ya huyo shoga............ pole sana
 
Last edited by a moderator:
Kumbe mnauvunja muungano kwa sababu za kidini???
Mnafikiri kwa kutumia nini???

Hamjui kwamba hata Saud Arabia kunawakristu na watu wadini tofauti na hiyo??

Kuvunja muungano kwa sababu hiyo ni Ukosefu na ufinyu wa akili mno.

Saudi Arabia kuna wakristo wengi ila unajuwa wanaishije?

Uilingnishe Saudia na Zanzibar, unaijuwa demography ya Zanzibar wewe?
1389980214371.jpg

Unaona Kanisa la St. Joseph hilo hapo liko katikati ya mji wa Kiislam katika, mji Mkongwe Zanzibar tokea enzi za Sultan.

Saudia wakristo wamejengewa compound wasichanganyike na jamii isipokuwa wale wanaofanya nao kazi hasa katika machimbo ya mafuta.
 
sioni uhusiano wa kanisa na zanzba coz hata misr kuna wakristo, waza mambo ya kujenga, mi wazanzbar wajtoe 2 na bara watoto wa kijakaz wata2soma fresh

We nguruwe hujui hata bara asilimia kubwa ni wa dini ya amani makafari hamzidi asilimia 35
 
Kumbe mnauvunja muungano kwa sababu za kidini???
Mnafikiri kwa kutumia nini???

Hamjui kwamba hata Saud Arabia kunawakristu na watu wadini tofauti na hiyo??

Kuvunja muungano kwa sababu hiyo ni Ukosefu na ufinyu wa akili mno.

Hivi wewe mgalatia wa tukuyu unaweza kuitenganisha Znz na uislam?
 
kuna watu mi huwa hata sihangaiki kujibu hoja zao. maana hawakupata elimu nyingine isipokuwa ile ya kukariri lugha na maneno flan flan.sasa hapo unajua kabisa unabishana na nan. ila hawa watu unaweza ukadhan unabishana na binadamu mwenzio kumbe ni jini. maana majini ndo yalikuwa ya kwanza kusilimu na kusema hamna dini bora ila hii waliyoletewa...hapo unapata majibu kuwa haubishan na binadamu wa kawaida. mi ngependa zanzibar waende tu kwa aman kwa misingi yoyote.iwe din au rang...waende tu.inatusaidia sana sisi....
 
Wee kweli Chizi usie na maarifa!
Teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Khawarizm,

Nimekusoma!

Huyo ajiitae ati ndo Makamee...wala si Mzanzibary na wala hana asili ya Zanzibar!

Kwa kifupi wala asikushughulishe asilan...sisi ndo wenyewe twajijua hata kwa mazungumzo na nasaha zetu!

Huyu nakhis itakua ndo wale Wanyamwezi wa Makanisa ya pale Dole na Mwakaje!? Dah!

Au weye Makamee ndo yule Msu-k.u.m.a Pasco!? Looh! Teeh! Teeh! Teeh!

Ahsanta.

Pole sana ndugu yangu!
Dhana hii ya usisi imetupotezea muda sana kama taifa.
Kunigrade mimi na uzanzibar ama utanganyika hakuna maana ya kwamba umejenga hoja yako kueleza vipi Zanzibar inaweza kusimama thabiti nje ya muungano.
 
Hivi umezaliwa mwaka gani wewe Makamee? Unajua kabla ya huu muungano Zanzibar ilikuaje?
 
Hivi umezaliwa mwaka gani wewe Makamee? Unajua kabla ya huu muungano Zanzibar ilikuaje?

Unamaanisha nini? Kila aliezaliwa baada ya muungano hana alijualo ndani ya muungano?
 
Ndugu makamee, usiwe na wasiwasi. Siku muungano utapovunjika ndio siku tuaiona zanzibar mpya kabisa. Kama wao walivojipanga na sisi pia tumejipanga. Mauritius, Sechelles, reunion, comoros, mauritius etc ni visiwa wenzetu ambao tumo katika bahari moja. C humi za mataifa haya ni bora kuliko uchumi wetu wakati sisi tuna rasilimali kuwaliko wao. Ha kiliopo ni ubadhirifu unao fanywa na hao wanaotetea serikali mbili. Hata pesa (fedha) zikiletwa za misaada, wao ndio wenye kuzifanyia mipango wakijenga makasri tunguuu nk.
Zanzibar iliweza kuendesha mambo yake kabla na inaweza pia kujiendeleza vizuri sana ikawa ni kioo kwa AFRIKA MASHARIKI,

Swadakta lakini wakati wa kujipanga ndo sasa tuonyeshe utayari kwa vitendo zaidi kuliko maneno.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom