Sikutaka nikujibu ila nimelazimika ili nikukumbushe kama umesahau. Hivi kweli ndg yangu unapata ujasiri wa kuzungumzia chuki za kidini huku Tanganyika wakati unajua kabisa kuwa ni tatizo pia hapo Zanzibar, hivi unatak kutuambia kuwa hujasikia mashekhe kuuawa, mapadri kuuawa, kumwagiana tindikali? hapo Zenj.
Kwa taarifa tu fahamu kama hutaki unaacha tatizo la nchi yetu sio chuki za kidini, ni wale waliofeli tu au wanaojifanya bvipofu ndiyo wanasema tatizo ni dini, only the foolish will argue like that. Matatizo yako ktk eneo la kupigania madaraka na hot cake ya taifa. Hujiulizi kwanini masuala magumu yanayogusa wananchi hayajadiliwi kwa mihemuko katika vijiwe, na kama ikitokea issue ambayo ni nzito inagusa maisha ya watu basi linaibuka suala ambalo linahamisha mjadala, everything ni planned, hebu jaribu kufikiria kwa umakini kwenye mfano huu hata kama hautakufurahisha try to think out of the box, Rasimu ya pili ya KATIBA YA NCHI ilipotoka (HOT ISSUE FOR THE NATION and our generation fifty years to come), ndipo unaibuka mjadala wa Zito na CDM, kila mtandao unajadili hiyo issue badala ya KATIBA YA NCHI, issue inapoa tunarejea kwenye maisha yetu ya kawaida, yaani tumebaki na manyoya kuku kaliwa.
Je, unaweza nitajia wapi ilitokea Mtanzania kamla Mtanzania mwenzake na ilikuwa mwaka gani katika karne ya 21? au umeamua kunitukana tu!!!Lakini kibaya zaidi nawe bila hata kutafakari unaanza kunitokana tena, sawa ndg yangu inawezekana wewe ulilelewa hivyo. Lakini kosa langu ni lipi hasa mpaka unanitukana? mbona hulisemi!!!!