Wazanzibar muungano tutaununua...

Wazanzibar muungano tutaununua...

Status
Not open for further replies.
Ndugu zangu wazanzibar,Ni muda mrefu sasa tumekua ktk manung'uniko kwamba serikali ya Muungano(Tanganyika) wanatunyonya.

Kumekua na rai nyingi sana za kutaka mamlaka kamili ya nchi Zanzibar ili tujiendeshe kama nchi nje ya Jamhuri ya Muungano.

Wapo wazanzibar walofika mbali zaidi na kusema sasa Muungano basi.

1.Napenda niwaulize ndugu zangu wazanzibar kabla hatujapaza yowe la kuukataa muungano huu je tumejiandaaje kujiendesha kama nchi kamili nje ya Muungano.

2.Niwajuze wazanzibar wenzangu kelele na manung'uniko yetu yamewaamsha watanganyika sasa wako mbioni kupata nchi yao nje ya muungano.wao wamejipanga tayari kwa hilo.

3.Ndugu zangu wazanzibar kama tulikua tunafanya utani wenzetu wapo serious,kiuchumi,kisiasa.
Wamejiimarisha ktk nyanja nyingi muhimu kama nchi.JE sisi tumejiandaaje!

Rai yangu kwenu mdundo huu wa kuvunja muungano usituleweshe naona mwisho wake tutakuja kuwapigia magoti watanganyika turudiane kuungana.

Upepo wa mabadiko
Upepo wa kisiasa
Lazima tuangalie tuna vyuo vikuu,vyanzo vya mapato zanzibar,ajira,n.k
Malalamiko na manung'uniko yasio na tija hayafai.
Makame Kha! Hama basi uje Tanganyika kwa mabwana zako

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Last edited by a moderator:
nirejee wapi wakati unaongea bila data.

Wenye akili walinielewa mapema sana,shida imekuja kwa wenye ubongo wa samaki kama wewe.
Huu si wakati wa kulialia
Huu si wakati wa kuwatukana watanganyika
Huu si muda wa kuonyesha chuki kwa Watanganyika,
Ni vyema tuendeshe makongamano, mihadhara,mijadala tupate walau vision ya kiuchumi rasili mali tulizonazo,uongozi tulionao,vyanzo vyetu vya mapatao, kisha tutepeleke matokeo haya ya mijadala kwa wazanzibar nao wajue tunasimamaje kama nchi nje ya muungano.
 
Wenye akili walinielewa mapema sana,shida imekuja kwa wenye ubongo wa samaki kama wewe.
Huu si wakati wa kulialia
Huu si wakati wa kuwatukana watanganyika
Huu si muda wa kuonyesha chuki kwa Watanganyika,
Ni vyema tuendeshe makongamano, mihadhara,mijadala tupate walau vision ya kiuchumi rasili mali tulizonazo,uongozi t
ulionao,vyanzo vyetu vya mapatao, kisha tutepeleke matokeo haya ya mijadala kwa wazanzibar nao wajue tunasimamaje kama nchi nje ya muungano.
Sijawahi kuona mzanzibar bweege kama wewe hivi wazanzibar wanavyotukanwa humu hauoni.
 
Sijawahi kuona mzanzibar bweege kama wewe hivi wazanzibar wanavyotukanwa humu hauoni.

Nini Faida ya hayo matusi watukanayo? Ungeangalia thread inasemaje ungekua wa maana sana sio kuendeleza upimbi wako.
 
Hii picha ya kwenye movie acheni ushamba..

Kama ni kukuuzia mimi gongo nitaendelea tuh kukuuzia,

Lakini hiyo kitu ni hatari kwa afya yako,mbaya zaid inaharibu hadi ubongo wako,si unaona jins ulivyo brainwashed??
 
Ndugu zangu wazanzibar,Ni muda mrefu sasa tumekua ktk manung'uniko kwamba serikali ya Muungano(Tanganyika) wanatunyonya.

Kumekua na rai nyingi sana za kutaka mamlaka kamili ya nchi Zanzibar ili tujiendeshe kama nchi nje ya Jamhuri ya Muungano.

Wapo wazanzibar walofika mbali zaidi na kusema sasa Muungano basi.

1.Napenda niwaulize ndugu zangu wazanzibar kabla hatujapaza yowe la kuukataa muungano huu je tumejiandaaje kujiendesha kama nchi kamili nje ya Muungano.

2.Niwajuze wazanzibar wenzangu kelele na manung'uniko yetu yamewaamsha watanganyika sasa wako mbioni kupata nchi yao nje ya muungano.wao wamejipanga tayari kwa hilo.

3.Ndugu zangu wazanzibar kama tulikua tunafanya utani wenzetu wapo serious,kiuchumi,kisiasa.
Wamejiimarisha ktk nyanja nyingi muhimu kama nchi.JE sisi tumejiandaaje!

Rai yangu kwenu mdundo huu wa kuvunja muungano usituleweshe naona mwisho wake tutakuja kuwapigia magoti watanganyika turudiane kuungana.

Upepo wa mabadiko
Upepo wa kisiasa
Lazima tuangalie tuna vyuo vikuu,vyanzo vya mapato zanzibar,ajira,n.k
Malalamiko na manung'uniko yasio na tija hayafai.

Mzanzibar usiejitambua,

Mimi sina cha kukusaidia zaid ya kukutandika mizinga ya gongo tuh uzid kuvuruga akili yako

:A S 13: :A S 13:
 
Mzanzibar usiejitambua,

Mimi sina cha kukusaidia zaid ya kukutandika mizinga ya gongo tuh uzid kuvuruga akili yako

:A S 13: :A S 13:

Usinisaidie mimi.
Saidia kuamsha fikra zako siku ikifika ikusaidie kujua umuhimu wa huu mungaano tunaoukeji wazanzibar kwa wakati huu.
 
Nini Faida ya hayo matusi watukanayo? Ungeangalia thread inasemaje ungekua wa maana sana sio kuendeleza upimbi wako.

Wewe Makame kama mzanzibari kwelu una maslahi yako binafsi usiwe kitatange ukawaingiza wenzio. Lakini kwa hiyo aina ya kejeli unayotoa wewe ni hao tulowazoea hapa akina Pasco na fake Makame ID.
 
Last edited by a moderator:
Wewe Makame kama mzanzibari kwelu una maslahi yako binafsi usiwe kitatange ukawaingiza wenzio. Lakini kwa hiyo aina ya kejeli unayotoa wewe ni hao tulowazoea hapa akina Pasco na fake Makame ID.

Ondoa shaka kuhusu mimi Naitwa Nassib Mohamed Makame.
Kunikejeli mimi haitosaidia kitu.
Unapopinga kuwepo kwa Muungano wakati huohuo hujui utajiendeshaje nje ya muungano huo ni ufyoro.
 
Last edited by a moderator:
Ondoa shaka kuhusu mimi Naitwa Nassib Mohamed Makame.
Kunikejeli mimi haitosaidia kitu.
Unapopinga kuwepo kwa Muungano wakati huohuo hujui utajiendeshaje nje ya muungano huo ni ufyoro.

Kwani wewe Makamee ndio wale waliofungua macho wakawa wameuona huu Muungano tu yaana hata hawakuona macho ya wazee nao enh? Teh teh teh.

Unajuwa kama Sychelles ndio nchi tajiri kuliko zote katika Africa?
 
Last edited by a moderator:
Kuna lugha inasema " You never know the importance of a thing until you loss it" Kiingereza changu kibovu lakini nadhani nimeeleweka.
Bora umejitetea mapema maana ungerushiwa madongo na wasioangalia hoja bali makosa ya lugha. Lakini inaeleweka ukimaanisha "Huwezi kuona umuhimu wa kitu mpaka unapokuwa umekipoteza au kimekutoka" na wakati mwingine kama unachoandika unakielewa tumia KISWAHILI tu hiki kiingereza tukilazimisha tunaweza kuvunjika mishipa ya ulimi
 
Kwani wewe Makamee ndio wale waliofungua macho wakawa wameuona huu Muungano tu yaana hata hawakuona macho ya wazee nao enh? Teh teh teh.

Unajuwa kama Sychelles ndio nchi tajiri kuliko zote katika Africa?

Sychelles iliwahi kuwa ktk muungano na nchi gani?
Toa mfano wa nchi zilizogawanyika South Sudan
 
Last edited by a moderator:
Mzanzibar usiejitambua,

Mimi sina cha kukusaidia zaid ya kukutandika mizinga ya gongo tuh uzid kuvuruga akili yako

:A S 13: :A S 13:

Mlewa gongo ni mlewa gongo tuh,

Huna ulijualo,huna la kuzungumza,huna data,huna fact,,!!

Upo upo tuh kama kichwa box unapiga makelele kama cherehan,

Hii ni JF unapouja basi uje kwa data,na sio unakuja ukiwa UMEDATA na GONGO zako kichwani

:sad: :sad:
 
Ondoa shaka kuhusu mimi Naitwa Nassib Mohamed Makame.
Kunikejeli mimi haitosaidia kitu.
Unapopinga kuwepo kwa Muungano wakati huohuo hujui utajiendeshaje nje ya muungano huo ni ufyoro.

Wewe ndiye fyoro,

Hao wanaotaka uhuru wa TAIFA LAO wanajua namna ya kujiendesha,mbona unataka kuwapigia RAMLI??

Wamesema wanataka kupumua,sasa si uwaache wapumue??mikwara na utabiri tabiri wa yajayo kwa wao we ndiye mungu??

Makame au Makamasi??
 
Sychelles iliwahi kuwa ktk muungano na nchi gani?
Toa mfano wa nchi zilizogawanyika South Sudan

Sychelles haiko katika.Muungano wa Africa Mashariki wala wa Tanganyika, ndio I
nikakujuuulisha kuwa Sychelles ambayo ndogon na haina hata cash crop kama Zanzibar ni tajiri kuliko zote Afrika. Sasa wewe unaelia kuwa Zanzibar ikiwa katika mamlaka yake itarudi ipige magoti kwa Tanganyika manaake nini?

Wala usije kuleta suala la Uislam sijui kadha wa kadha. Maldives ambayo ni nchi pekee duniani 100% waislam nayo ni ndogo kuliko Zanzibar inaedheshwa na uchumi wa kitalii bila kuathiri maadaili ya wananchi wake.

Na nchi hizi mbili ni ndogo lakini zote ziko katika Umoja wa Biashara wa Visiwa vya Bahari ya Hindi, umoja ambao na Zanzibar inaweza kujiunga na wananchi wake.wakafaidika kiuchumi. Upoooooooo?
 
Ni kweli, miezi miwili na nusu ya uhuru ilikuwa ngumu sana kwa marehemu Karume kushikilia dola ya visiwa viwili kama nchi moja - alishalemewa sana na hatari ya vita vya wenyewe kwa wenyewe - kama historia inavyoonesha. Lakini kwa sasa mazingira ni tofauti na wakati ule tulipohitaji msaada wa Watanganyika ili kuepuka balaa baada ya Mapinduzi matukufu. Sasa tunaweza kabisa kujisimamia kama nchi. Historia imebadilika, watu wamebadilika, mazingira ya ki-dunia yamebadilika. Tunawashukuru Wabara kwa kupita nasi kipindi kile kigumu, lakini shukrani na heshima hii itapungua na kubadilika iwapo mtaendelea kufikiri mtoto akishakua anahitaji tena kutunzwa na kusimamiwa na mzazi. Mzazi mwenye busara humpa mtoto heshima na uhuru wa kujitawala muda unapofika kufanya hivyo!

Zbar kuna watu wana msimamo ambao ni mkali. Wapo wasiotaka kusikia kwamba muungano uvunjike, ambao ni wale walio ktk utawala. Wanafahamu jinsi wanavyoihitaji bara ili kuiendesha zbar kama nchi. Bajeti ya zenj haitoshi kabisa!

Kundi la pili ni kama huyu mchangiaji, Mike, wao wanaona liwalo na liwe na wanaamini muungano ukifa watapata misaada toka arabuni na hasa Oman. Tumaini kama hili ni mfilisi kwa sababu sidhani kama oman bado inahitaji kuwa na koloni la kutawala. Hamu ya kuwa karibu na nchi za kiarabu ni kubwa kiasi kwamba ukoo ukiwa na binti aliyeolewa arabuni, huwa na hadhi ktk jamii. Hiyo ndo zbar. Watakataa lakini ndo ukweli.

Jiulizeni; kweli munaamini kuna mwarabu aliye na faida ya kuwasaidia zbar? Kuna nini? Karafuu haipo tena! Nani aje zenj!

leteni umwamba lakini bara ni roho yenu, tangu nyama ya ng'ombe hadi mkaa wa kupikia na hata soko la biashara zenu. Kwa kutoelewa bara wanakuwa Tanganyika sasa.
 
"kwani siri hasa ya mapinduzi huijui wewe? tafuta kitabu kimoja kinaitwa "kwaheri uhuru,kwaheri ukoloni" cha Harith Ghassani unaweza kupata mwangaza. Hapa ndio tatizo lenu kubwa mapinduzi hasa hamyajui wengi wa watu wa Tanganyika"

Aah kwendeni zenu huko pu.mb.a.vu kbs kazi ulalamishi tu,shule hamtaki kwenda,kazi kupenda vya bure tu, waarabu wamewaharibu saana nyie, mnafikiri Zanzibar ya kuifananisha na Singapore itakuja kwa kutoenda shule, kushinda vibarazani mkicheza bao na kuendekeza uvivu?Hatuna shida na nyie kwanza mnatutia hasara tu,shen.z.i type
 
Sychelles haiko katika.Muungano wa Africa Mashariki wala wa Tanganyika, ndio I
nikakujuuulisha kuwa Sychelles ambayo ndogon na haina hata cash crop kama Zanzibar ni tajiri kuliko zote Afrika. Sasa wewe unaelia kuwa Zanzibar ikiwa katika mamlaka yake itarudi ipige magoti kwa Tanganyika manaake nini?

Wala usije kuleta suala la Uislam sijui kadha wa kadha. Maldives ambayo ni nchi pekee duniani 100% waislam nayo ni ndogo kuliko Zanzibar inaedheshwa na uchumi wa kitalii bila kuathiri maadaili ya wananchi wake.

Na nchi hizi mbili ni ndogo lakini zote ziko katika Umoja wa Biashara wa Visiwa vya Bahari ya Hindi, umoja ambao na Zanzibar inaweza kujiunga na wananchi wake.wakafaidika kiuchumi. Upoooooooo?

Wenzenu utalii wanauheshimu maana wanajua kua ni kitu kinachoingizia mapato mataifa yao, sasa nyie mtaweza?maana ktk kipindi cha Mwezi Mtukufu tu mwanamke akionekana hajafunika kichwa huchapwa,au mtu akionekana anakula hadharani kosa. Mtaweza?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom