mwakaboko
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,931
- 758
Huwa nashiriki mijadala, ila mtu akionesha kuwa yeye anaabudu vyama kama ambavyo unavyojionesha, hujitenga naye ili ajadiliane na wa level yake. Hakuna hata sehemu moja nilipokuambia ww kuwa mimi ni mwanachama wa chama fulani ila umeamua kunipa chama cha CDM na sio CCM, I am very unhappy for this. Binafsi hupenda kujadili yale yanayogusa Watz sio ushabiki wa vyama lakini mwenzangu hauko hivyo. Najiheshimu sana sijafurahishwa na kitendo chako cha kunitukana bila kosa lolote. Hivi kama ningekuwa nimekukosea bila shaka ningetukanwa zaidi ya hayo matusi katika post ulipost wakati huu. Naomba nikuulize gombesugu, nimefanya kosa gani wewe mpaka uniite mimi msukule? kwa hili naomba majibuDuh! Teeh! Teeh! Teeh!
Mkuu,yaani hili povu looote limekutoka na tashtit nyingi mno,sababu ya kutajiwa hiyo Chadema yako tu!? Teeh! Teeh! Teeh!
Kwani mtu kuwa mfuasi/Msukule wa Chadema ni aibu Mkuu!?...mbona unaleta dasturi kama za yule mlevi wa Chang'aa aka Nicholas!? Teeh! Teeh! Teeh!
Acha hizo tishatoto weye! Hivi kweli unaamini hayo uandikayo au unaamua tu kuwafurahisha wenzio!?
Sasa wewe unatishia-nyau Wazanzibary...lakini nasikia majuzi tu Chama chako Chadema ati kimetangaza nafasi ya kazi(ndio! yaani moja tu,kwa Wazanzibary population of over just a million!? Duh!). Chadema bana! Teeh! Teeh!
Sasa mbona mwatuchanganya nyinyi Watanga-nyikwa!? Teeh! Teeh! Teeh!
Ahsanta.
CC;Ritz,Mzito Kabwela
Let us end here, because I think in my view we don't match in the way of seeing the issues. All the best gombesugu