Wazamiaji wa miaka ya 90

Wazamiaji wa miaka ya 90

Mimi mwakahuu mwezi wa nane ndipo nafikisha miaka 31, so do your maths utajua nisingeweza kuzamia kipindi hicho nilikuwa na umri mdogo.
Najua unashangaa kwanini nina details nyingi za hii stori, ni kwamba alitaka kuandika kitabu aka narrate mimi nikawa nasikiliza nakichapa ila baadae aghairi. Na ni kitu ambacho nikikaa naye lazima anipe kisa flani so ni story ambazo nimezisikia sana kwa kujirudia mara kibao
Wapuuze. Nchi yetu imekuwa na tabia fulani ya ukilaza kiasi ambacho mtu anadhani huwezi kusimuliwa na ukajua mengi namna hiyo. Mtu unapokuwa muungwana, msikilizaji na mdadisi una nafasi ya kujua wengi.
 
UBAGUZI wa Waarabu,,wahindi,,wachina,,wajapan hao wote wanafanana ,,,na UBAGUZI wao unakuja baada ya kujigunduwa kuwa Africans blacks ndy chaguo namba moja la mzungu kuliko yeyote kati yao..sasa ile revange yao ni kwetu kutudhalilisha sisi,,,
 
Ndy hapo inakuwa shida,,,maana unaposema gay wazungu wanamaanisha shoga,,sasa uwe mende au shoga ,,,au ,,,wote ni group moja,,,sasa bahati upate punga akupende,,,,umong'onyoe ..kama wewe ukipendwa na mende basi hesabu maumivu,,,maana jamaa atalalamika mbona shoga lenyewe hataki KUGEGEDWA au hatafunwi?hapo utashindwa vigezo mkuu...,,lazima uliwe au uwe mende ili upate makaratasi kwa urahisi
Kwa hiyo lazima upigwe upara ndio upewe papers ?!
 
Wapuuze. Nchi yetu imekuwa na tabia fulani ya ukilaza kiasi ambacho mtu anadhani huwezi kusimuliwa na ukajua mengi namna hiyo. Mtu unapokuwa muungwana, msikilizaji na mdadisi una nafasi ya kujua wengi.
Jamaa akiwa Mexico yeye na wenzake walianzisha michezo ile ya feymanian wakaflash watu, sasa mmoja kati ya watu walioflash kumbe alikuwa ni ndugu wa member wa cartel gang, so akaenda kumwambia ndugu yake kuwa kuna watu wana mchongo wa kutngeneza dollar.
Kumbe lile lilikuwa ni kosa asubuhi wazee wakatimba full ma AK 47 wakavamia hotel wakawabeba na hakuna aliyeingilia.
Wakawaweka kwenye boot za gari wanakuja kushtuka wanatolewa kwenye boot wako kwenye mjengo mmoja wa hatari. Jamaa anasema anaona madem wanaoga kwenye swimming pool na majamaa wamekaa wanakula starehe wao wanatolewa wanaenda wanafungwa kwenye miti wanaanza chapwa bakora kwa mijeredi. Na ndipo mjeredi ulijikunja kwenye korodani moja jamaa alivyovuta ukamchana.
Anasema walipigwa sana na hakuna wala aliyeonyesha kujali si wale madem wale wale madon waliokuwa wanakula bata.
Jamaa anasema kati yao kulikuwa na don flani alikuwa na dred halafu black flani tofauti na wenzake akatoka kwenye maji akaja pale akawatazama, akawauliza wamefanya nini, ndo wakamwambia kuwa walikuwa wanatapeli watu kuwa wanatengeneza dollar.
Jamaa akawafuata akawauliza wanatoka wapi, wakamjibu afrika, ndipo jamaa akafurahi kusikia wametoka afrika.
Akawahoji hoji wanaenda wapi, wakamwambia walikuwa wanataka enda USA. Basi yeye ndiye akatoa order wawarudishe.
Wakaenda kutupwa katikati ya mji. Jamaa alilazwa hospitali kama mwezi hivi...
Yani jamaa ana mastory mengi kwanza mpaka watoke mexico maswahibu mengi tu
 
Mabaharia ndy walikuwa wanatesa mjini
Wakirudi tu viwanja hawagusiki
Pesa, nguo, Raba wao tu

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Umenikumbusha mbali... Enzi hizo hakuna nguo wala magari kama sasa hivi. Wajanja wenye connections tu ndiyo walikuwa wanavipata. Akiteremka baharia ana ma-jeans, T shirts na raba huku anakokota 504 likiitwa wenyewe wakiliita ''guruwe''. Wapambe kibaaao na watoto wazuri wa mtaani wote ni wake. Anakaa huku aki-spend sana kama mwezi hivi huyoo.... anaondoka. Nyuma anaacha watu wenye usongo wa kuzamia wawe na maisha kama yale.
 
Mabaharia ndiyo walijua na kupata connection zote
Mabaharia ndy wasambazaji wa mitkasi wa kwanza kabisa, Miaka hyo bongo mitkasi haijulikani.... Walikuwa wanaleta bongo na kuipeleka ulaya
Bongo matumizi ilikuwa bado.... So connection za Hela walizijua mapema sana
Sema wengi walikufa kwa ngwengwe

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Jamaa akiwa Mexico yeye na wenzake walianzisha michezo ile ya feymanian wakaflash watu, sasa mmoja kati ya watu walioflash kumbe alikuwa ni ndugu wa member wa cartel gang, so akaenda kumwambia ndugu yake kuwa kuna watu wana mchongo wa kutngeneza dollar.
Kumbe lile lilikuwa ni kosa asubuhi wazee wakatimba full ma AK 47 wakavamia hotel wakawabeba na hakuna aliyeingilia.
Wakawaweka kwenye boot za gari wanakuja kushtuka wanatolewa kwenye boot wako kwenye mjengo mmoja wa hatari. Jamaa anasema anaona madem wanaoga kwenye swimming pool na majamaa wamekaa wanakula starehe wao wanatolewa wanaenda wanafungwa kwenye miti wanaanza chapwa bakora kwa mijeredi. Na ndipo mjeredi ulijikunja kwenye korodani moja jamaa alivyovuta ukamchana.
Anasema walipigwa sana na hakuna wala aliyeonyesha kujali si wale madem wale wale madon waliokuwa wanakula bata.
Jamaa anasema kati yao kulikuwa na don flani alikuwa na dred halafu black flani tofauti na wenzake akatoka kwenye maji akaja pale akawatazama, akawauliza wamefanya nini, ndo wakamwambia kuwa walikuwa wanatapeli watu kuwa wanatengeneza dollar.
Jamaa akawafuata akawauliza wanatoka wapi, wakamjibu afrika, ndipo jamaa akafurahi kusikia wametoka afrika.
Akawahoji hoji wanaenda wapi, wakamwambia walikuwa wanataka enda USA. Basi yeye ndiye akatoa order wawarudishe.
Wakaenda kutupwa katikati ya mji. Jamaa alilazwa hospitali kama mwezi hivi...
Yani jamaa ana mastory mengi kwanza mpaka watoke mexico maswahibu mengi tu
Duh hatari

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
M
Siku hizi mambo yamekuwa rahisi kwasababu ya science na technology. Mana kipindi kile hata simu zilikuwa adimu. Information pia ilikuwa limited, siku hizi unaweza ingia internet ukapata taarifa ya uendakohata kabla hujafika.
Mkuu pole sana kwa hustle zako
 
Shoga anza kujiandaa kisaikolojia kabisa ..hhhaa ...bora kufia hata Ethiopia huko😖😖😖
Waethiopia wenyewe wanakimbia ethiopia wako tayari kuwekwa kwenye macontainer kama matikitiki hadi wanakufa kwa kukosa hewa. Wako tayari wakauzwe libya wanakimbia nchi yao wee ndo wataka ukafie huko?
 
Back
Top Bottom