Baharia alivyokamatwa kama Muasi akiwa Guinea Bissau
Baharia alivyookoka kwenye mikono ya askari wa Dubai
msome zaidi kwenye hizo link mbili
Makanisa- lengo ili kuwapa wafrica hofu ya Mungu mjue asili ya mungu ni mzungu ili muwaogope km unvyowaogopa leo! mudharau mitishamba yenu.Mkuu ulisema wakoloni walijenga reli kwa manufaa yao,,sawa,,ndy nakuuliza zile shule na mahospitali pamoja na makanisa walimjengea nani? naona unarukaruka majibu hunipi....au hata kujenga nyumba za makazi ya watu walimjengea nani? na usifananishe baridi ya ulaya ,,America au canada na south Africa,,nimekuuliza ni lini south Africa gari ukipaki nje baada ya muda ilijaa barafu? au nyumbani milango na madirisha yakajaa barafu? nijibu kwnza...na usiwe bado na mawazo ya kikoloni,,hayo mambo hayana nafasi tena dunia ya sasa,,,neno utalii maana yake ni kutembelea jambo Fulani,,,,,na watalii wanapokuja kutembealea vivutio vya Wanyama au milima au historia ya kale maana yake wanajifunza,,, na usifananishe SIMBA,,au Chui au mnyama yeyote wa kwenye zoo na mnyama wa mbugani ,,,hivi kwenye zoo simba anaweza kumkimbiza swala na kumla?
Hivi Mkuu unapokwenda mbuga za Wanyama na kujuwa maisha ya Wanyama ,,ni kusoma au unajifunza?
[/QU
Kujifunza is the synonym word of the word, '' Kusoma''. mbona unanirudisha yale ya Std {iv} neno ''darasa'' ni mahali popote pale linaanzishwa, hata JF, chini ya mwembe!nk iko hivi;
Learning is acquisitions of knowledge through study and being tought, nikakupa mfano Tourist wote Duniani hawaendagi wenyewe bali wanakuwa na tour Guides, ndiyo anawafundisha siyo mpaka, ataje ''mwalimu''
Hata kufika huko N/ park lazima ujue kusoma ramani, usalama, tamaduni, usome kwanza The big four, wanakula kg ngapi, wanazaaje nk, baada ya hapo lazima utoe mrejesho wa kile ulichokiona kwa maandishi, uliyoyahakiki kwa kuyasoma mwenyewe!
Watalii mkuu hawaendi km wewe unavo enda mjini kumtembelea mjomba Daktari, kushangaa mashine za baridi, na kugonga mdada wa job, hasa ukisha uza mahindi kjijini, wanajipanga muda sana wengine wanadhaminiwa.
Mkuu ulisema wakoloni walijenga reli kwa manufaa yao,,sawa,,ndy nakuuliza zile shule na mahospitali pamoja na makanisa walimjengea nani? naona unarukaruka majibu hunipi....au hata kujenga nyumba za makazi ya watu walimjengea nani? na usifananishe baridi ya ulaya ,,America au canada na south Africa,,nimekuuliza ni lini south Africa gari ukipaki nje baada ya muda ilijaa barafu? au nyumbani milango na madirisha yakajaa barafu? nijibu kwnza...na usiwe bado na mawazo ya kikoloni,,hayo mambo hayana nafasi tena dunia ya sasa,,,neno utalii maana yake ni kutembelea jambo Fulani,,,,,na watalii wanapokuja kutembealea vivutio vya Wanyama au milima au historia ya kale maana yake wanajifunza,,, na usifananishe SIMBA,,au Chui au mnyama yeyote wa kwenye zoo na mnyama wa mbugani ,,,hivi kwenye zoo simba anaweza kumkimbiza swala na kumla?
Unasema ulidhani unaongea na nani kumbe?hebu paza sauti yako nikusikie vzr mkuuMakanisa- lengo ili kuwapa wafrica hofu ya Mungu mjue asili ya mungu ni mzungu ili muwaogope km unvyowaogopa leo! mudharau mitishamba yenu.
Reli- kusafirishia maligahafi za viwandani huko kwao eg mkonge. pamba.
Hospitali- ili watibie manamba kiurahisi, na kuanda madalali wa kuuza dawa zao yaani vidaktari, vilivyodharau dawa zenu za asili. na wao wapate huduma ya kwanza kabla ya kwenda ulaya! Mpaka leo hkn mzungu anatibiwa Amana, MNH.
Shule- kuandaa makarani wa kazi zao! manesi,daktaris, walinzi yaani KAR,Police nk
Nyumba -walijenga nzuri ili wao waishi, vibanda vilikuwa vya walinzi na wafanyakazi wao!
View attachment 1480650kalifunikwa kote haka.View attachment 1480653View attachment 1480655Eastern cape, oxybow, Mokholong kwa uchache, ni baridi la kufa mtu,hivyo ni vijumba vya kiafrica.
Tours=tafsiri rahisi ni utalii, naamini hukuwahi kufanya study tours shuleni kwenu? ndiyo matokeo yake haya!
Sirukiruki Mkuu, ile ni summary tu, nilidhani naongea na mtu mwenye uelewa mpana! kumbee!
Son Mountain Lodge iko Eastern Cape, ukienda huko jiandae kabisaaa!Mkuu ulisema wakoloni walijenga reli kwa manufaa yao,,sawa,,ndy nakuuliza zile shule na mahospitali pamoja na makanisa walimjengea nani? naona unarukaruka majibu hunipi....au hata kujenga nyumba za makazi ya watu walimjengea nani? na usifananishe baridi ya ulaya ,,America au canada na south Africa,,nimekuuliza ni lini south Africa gari ukipaki nje baada ya muda ilijaa barafu? au nyumbani milango na madirisha yakajaa barafu? nijibu kwnza...na usiwe bado na mawazo ya kikoloni,,hayo mambo hayana nafasi tena dunia ya sasa,,,neno utalii maana yake ni kutembelea jambo Fulani,,,,,na watalii wanapokuja kutembealea vivutio vya Wanyama au milima au historia ya kale maana yake wanajifunza,,, na usifananishe SIMBA,,au Chui au mnyama yeyote wa kwenye zoo na mnyama wa mbugani ,,,hivi kwenye zoo simba anaweza kumkimbiza swala na kumla?
Ukiemda Mkuu, ujiandae hasa baridi la huko siyo la ki sport sport! ni kifo!Unasema ulidhani unaongea na nani kumbe?hebu paza sauti yako nikusikie vzr mkuu
Ukiemda Mkuu, ujiandae hasa baridi la huko siyo la ki sport sport! ni kifo!
We mwanamke! Njoo nikukoe konzi ya kichwa. Unapajua vema Ethiopia wewe mpaka utamani huko kuliko Bongoland? kwanza joto ni kali la Dar likajifunze. Maisha ni magumu hayaelezeki. Wana chuki za kikabila kuliko. Nikusikie tena!
Lowe group sio la maagent Ni kupeana taarifa Kama hizi + network za huko Zanzibar n.k
Njia ya maji naskia rahisi....ngoja nikaolewe tu huko hakuna jins nipate pepa
40yrs kwenye safari ya 1hr[emoji38][emoji38]Au ungefia njiani maana ilikuwa safari kama ya wana waisrael toka misri kwenda nchi ya ahadi
Sasa hivi kufake marriage ni ngumu kidogo ulaya,,, njia PEKEE na ya kirahisi ni kufake gender,,,, wengi wanasema gays..ukisema wewe ni gay na huko ulipotoka umekoswakoswa kukamatwa uuliwe,,,duu...hata miezi mitatu haifiki ushapewa makaratasi ya kuishi ,na wanakutafutia partner so fast akuliwaze...duu wazungu hawa...ni balaa...laana tupu
Sasa watakuwa na proof gani kama kweli ni gay?lazima uliwe,,,au uwe unakula...lakini kwa kawaida ya gay hata yule MENDE naye pia huliwa...sometimes.. Maana unaweza mgegeda shoga na baadae akisimamisha dushe anataka akutafune..unafanyaje?Kwa hiyo lazima upigwe upara ndio upewe papers ?!
Mkuu popote uendako duniani ,hata kama huna ndugu ,,tafuta black people yeyote muafrica ndy atakuwa ndugu yako...ulaya watu weusi wote ni ndugu..niamini mm.,au ukikutana na mtanzania mwenzako yeyote ndy ndg yako.. Kuwa na amani,,..weka passport mfukoni ,, begi mgongoni baharia,,,maneno mbele....usiogopeSio tabu kupata visa na kuingia nchi hio? Kama hauna mwenyeji unafanyaje sasa??
Mayotte Wanapiga kiswahili kile cha buza kabisa kabisa ?Kupitia Comoro pamekua pagumu mno babu. Watu wa Mayotte wamewahi ku protest kwa serikali kuu kutokua makini kulinda mpaka kwa kile kinachoelezwa kuingia kwa wingi wahamiaji haramu kutoka Comoro. Ipo hivi, kihistoria watu wa Comoro na Mayotte ni jamii moja sema hawa wa Mayotte walishtuka wakataka waendelee kuwa chini ya Ufaransa. Inasemekana walikua wakishinikiza na wenzao wa Comoro...Comoro wakakataa. Sasa watu wa Mayotte hawataki shobo na wacomoro na wana wananga na kuwabagua sana. Kimsingi hawa wote asili yao ni huku kwetu Tanzania. Ndiyo maana wana tabia sawia kabisa na za wabongo.
Mayotte walijiongeza wakaona mmh kuwa taifa huru under Africa ni msala [emoji23] walishtuka mapema. Dah! Bora Bongoland nasi tungekua chini ya mfaransa/mjerumani kama foreign territory. Maoni tu!
Mkuu popote uendako duniani ,hata kama huna ndugu ,,tafuta black people yeyote muafrica ndy atakuwa ndugu yako...ulaya watu weusi wote ni ndugu..niamini mm.,au ukikutana na mtanzania mwenzako yeyote ndy ndg yako.. Kuwa na amani,,..weka passport mfukoni ,, begi mgongoni baharia,,,maneno mbele....usiogope
Mkuu popote uendako duniani ,hata kama huna ndugu ,,tafuta black people yeyote muafrica ndy atakuwa ndugu yako...ulaya watu weusi wote ni ndugu..niamini mm.,au ukikutana na mtanzania mwenzako yeyote ndy ndg yako.. Kuwa na amani,,..weka passport mfukoni ,, begi mgongoni baharia,,,maneno mbele....usiogope