Wazamiaji wa miaka ya 90


Hili ni kweli mkuu, kuna watu walikuja kwa njia hii na kwa pesa nyingi ( Euro 10,000) na linakuwa deni analipa taratibu
 
Huu uzi ungekuwa mzuri kama ndugu mhamasishaji wa mambele huko angekuja kutoa vitu vyake no matter what please mzee pita hapa Parabora
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Tatizo watu wa uswiss walilenga sana nyapu.
Wanagongana tu pm.
Walihisi labda tutashoboka.
 
Hadi sasa hivi uko huko?
Vipi mishe za huko?
Ugiriki wabongo wengi mishe zao ngada.
Naomva kusikia zaidi kuhusu huko
 
Mkuu hizo siri na MSITUNI,.wanasema wht happens in the jungle stays in the jungle...hivyo tu mkuu..nimekula kiapo cha mwituni...sina majibu
Hadi sasa hivi uko huko?
Vipi mishe za huko?
Ugiriki wabongo wengi mishe zao ngada.
Naomva kusikia zaidi kuhusu huko
 
Kweli mkuu, mkimbizi unapokea hela ndogo sana hasa ukiwa kwenye kambi zao, wengine huwa hadi wanatoroka, wanapata around 300 Euro kwa mwezi sasa unaona kabisa hiyo si kitu
Wengi wanahitaji kupata uraia ili aweze tumia passport kwenda inchi nzr zaidi kwa benefit ya uraia wa ulaya...na kupewa pesa kila mwezi kama raia
 
Hapana mkuu ila kuwa makini na matapeli wa Nigeria,, wanaranda sn maeneo hayo ya mitandao wakitapeli watu
Mimi wananitumiaga greencard kwenye email wanataka niende canada sijui unalijua swala kama hilo
 
Vipi aliendelea kuishi bila korodani?
 
...huu uzi mzuri ila humu kuna watu n wajinga ambao wanapenda shortcut eventually mnakuwa mashog tu n kuparamiwa na midume ya kizungu wote mwanaume n mwanamke mnaparamiwa n midume ya kizungu.........tanzania maisha n rahisi kama unatumia akil ila kama wapenda vya bure na kutafuniwa....yani usome ila usiwe na akili unasoma il uajiliwe au hujasoma alaf una ujinga kibao kichwan unashindwa kutumia akil yako kugundua fursa kibao mitaani hapo lazma ulalamike maisha n magumu kitu ambacho sikweli.....yani wenzenu wametumia akili zao kujenga mabara yao ninyi wapenda vya bure na kutafuniwa mnakwenda tu ndo mana mtu mweusi yuko nyuma na anabaguliwa kwa akili hiz ........mimi nimemaliza chuo miaka 6 iliyopita na ajira sina hadi leo ila natengeneza pesa ndefu kuliko huyo mwajiriwa wa selikali before sikuwahi fikiria kama ninyi...... ukweli ni kwamba dunia nzima hakuna maisha rahisi hata uende chini ya bahar....na hizi ndio akil za mwafrica mweusi unafikiri mzungu angekuwa na mawazo haya mngetamani hata kwenda huko kwao si pangekuwa kama huku mnapopakimbia......msipende vya bure nyie vijana wa kiafrika utapakatwa wewe na mkeo.........bado mna mawazo ya kitumwa......sasa nimeamini kwamba inawezeka kwa watumwa 1000 wa kiafrika kuongozwa na wazungu wawili wenye bunduki moja n mjeredi......
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Tatizo watu wa uswiss walilenga sana nyapu.
Wanagongana tu pm.
Walihisi labda tutashoboka.
Kwahyo ilkua ukienda PM jamaa anataka kidude kwanza ndo connection iendelee sema jamaa alijipanga sana kwenye kuhamasisha watu kuhusu huko Europe jamaa yupo vizuri yan zile KEY points zote anazo
 
Reactions: amu
Kwahyo ilkua ukienda PM jamaa anataka kidude kwanza ndo connection iendelee sema jamaa alijipanga sana kwenye kuhamasisha watu kuhusu huko Europe jamaa yupo vizuri yan zile KEY points zote anazo
Niende pm nakichaa?
Wao ndo wanajileta pm.
 
Mkuu hiki kisa kinafanana na kisa cha borison ambaye sasa ni raia wa Romania but kwao kabisa ni hapa hapa bongo huko yombo
 
Tangu lini mwenye shibe akamjua mwenye njaa!! Unatunanga mawazo yetu ya kitumwa lakini unasahau hulka za kiafrika chuki, wivu, ubinafsi wa viongozi wetu ndo umetufikisha hapa tulipo!!

Mwafrika akipata anakimbilia kutamba, kutukana na kujionyesha alivyofanikiwa Kama wewe hivyo pasipo kutoa njia kwa maskini wenzio, ndugu zako na waafrika wenzio nao wawe Kama wewe,,

Kila mtu ashinde mechi zake wa kwenda ulaya waende wa kubaki hapa kusifia wanasiasa na wabaki,
 
Kila mtu afanye kitu chake mkuu, we ni nani wa kumpangia mtu kitu cha kufanya?
 
Mkuu watu wote Duniani tunatamaniana, na kuhitajiana, Wazungu mbona wanakuja huko Bongo na Africa kwa ujumla. wachina, waarabu, wahindi nk tatizo la wazaramo kijicho! wanajua majuu ni salama zaidi!
 
Lengo lako nini haswa? hakuna mtu anayependa vya bure mkuu,,,,tunajaribu kueleza upande wa pili wa shilingi ulivyo,,,, ni kweli Africa pesa zipo,,,hata wazungu wanalijuwa hilo lakini basi hata vitu vya msingi kama binadamu pia ni shida? tunakwama wapi?hapa hakuna mtu anayependa vya bure, ,,na kupakatwa ni tabia ya mtu mkuu,,,wapo watu wana kila kitu na maisha mazuri lakini wanapakatwa,,,,tena wanapakatwa na watu ambao hawana kitu,,,,,,hapa tunazungumzia maisha ya ulaya na haki za raia wao,,,hakuna zaidi,,, ulaya ni haki ya kila raia kupata hayo ninayoyaeleza,,,,wewe kama raia ni haki ngapi zinavunjwa?lakini unaona ni sawa tu?sababu unanafasi ya kufanya biashara zako na umefanikiwa?Mkuu usijiangalie wewe,,,muangalie na mwingine,,,,huku kwetu bado ni msituni sana tu,,,,jaribu kuelewa mada.....
 
Mkuu hiki kisa kinafanana na kisa cha borison ambaye sasa ni raia wa Romania but kwao kabisa ni hapa hapa bongo huko yombo
Yawezekana mkuu,,,wala sikupingi,,,maana siku hizi wazee wa copy na paste ni wengi....anaweza mtu anachukuwa story ya mtu mitandaoni akauvaa uhusika,,akaansisha Uzi sehemu..lakini hicho kisa ni changu,,na sio mara moja kujieleza,,,mkuu Mimi nilishawahi kuishi hata Asia,,, Nina matukio mengi ya kutafuta maisha,,,lakini sipendi kuweka sana mitandaoni kuhofia copy na paste...siku ukieleza mahala kumbe wazee wa paste washapeleka mahali..wengi wanakuwa sio wahusika ni kusikia mambo ya vijiweni au mitandaoni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…