Transistor
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 970
- 1,461
mayai
very genuine concern ..... majibu Tafadhali?Mtajuaje mayai yanafaa kutotolesha i.e. kuku alikuwa na Jogoo???
Inaonekana mna pesa za kuchezea, Hahaa yaani katika hii biashara usitegemee mayai ya kununua mtalia na mtafunga biashara.Shirika la Tanzania youth Entrepreneurship and Empowerment Organization TYEEO.Linapenda kutangaza tenda ya uuzaji wa mayai ya kuku chotara na kuku wa kienyeji katika mradi wake mkubwa wa utotoreshaji vifaranga utakao anza mapema tarehe 20/12/2016.
Kwa wafugaji ambao wanafanya uzarishaji wa mayai yaliotajwa hapo juu,tafadhari fika ofisi za TYEEO zilizopo Gongolamboto stand,au piga simu namba 0657115587.