Nahitaji mayai ya kisasa kwa wingi

Mbelwa11

Member
Dec 21, 2023
6
1
Habari natafuta mfugaji wa kuku wa layers nahitaji mayai ya kisasa kwa wingi alieko dar au pwani tuwasiliane kwa no 0685104688 au 0627345358
 
Wewe ni dalali tu! Hauna lolote... Ili upigiwe ulaze bei si eti!?... Kwa kigezo kuwa unayahitaji kwa wingi!?.... Haupajui Kitunda!?
 
What is your point mkuu...alaze bei au asilaze bado hakulazimishi kufanya nae biashara. Ukiona unapata faid, go for it kama hakuna unaacha.simple tu
 
Back
Top Bottom