Wazalishaji wa mayai ya kuku chotara na kuku wa kienyeji,Uza mayai yako kwetu.

Mtajuaje mayai yanafaa kutotolesha i.e. kuku alikuwa na Jogoo???
very genuine concern ..... majibu Tafadhali?

la msingi ni kuingia makubaliano na wafugaji halafu kuwamonitor uzalishaji wao wa Mayai ambayo ni fertile kwa ajili ya kutotolesha .... hii ni kuzingatia ulishaji wa chakula bora, uthibiti wa magonjwa, ratio ya majogoo kwa mitetea, utunzaji wa Mayai n.k
 
Katika watu ambao MTU hatakiwi kuthubutu kununua vifaranga kwao ni ninyi, mnaomba mayai toka popote, msikojua historia ili mradi MTU amekuja anadai ana chotara, chotara gani hamjui, anafugaje hamjui, na kesho mtatutangazia MNA vifaranga bora vya chotara, na mtavipa majina tena mazuri tu!
Mtatutangazia mnao sasso, kroiller, Rhode island red, n.k
 
Shirika la Tanzania youth Entrepreneurship and Empowerment Organization TYEEO.Linapenda kutangaza tenda ya uuzaji wa mayai ya kuku chotara na kuku wa kienyeji katika mradi wake mkubwa wa utotoreshaji vifaranga utakao anza mapema tarehe 20/12/2016.

Kwa wafugaji ambao wanafanya uzarishaji wa mayai yaliotajwa hapo juu,tafadhari fika ofisi za TYEEO zilizopo Gongolamboto stand,au piga simu namba 0657115587.
Inaonekana mna pesa za kuchezea, Hahaa yaani katika hii biashara usitegemee mayai ya kununua mtalia na mtafunga biashara.

Tengenenezen Parebts wenu acheni uvivu
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom