M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 8,098 Reaction score 10,936 Jun 13, 2023 #1 Salamu, Naomba kujua namna ambavyo Mzabuni anaweza kupanga Bei ya bidhaa wakati wa tendering. Je, Kuna Mwongozo WOWOTE wa kisheria au Kanuni? Mfano ..Kama Bei ya nyama sokoni ni Sh.8000/ ,au Sembe Kg ni Sh.1500/ Hapo Bei za Zabuni zinakuwaje?
Salamu, Naomba kujua namna ambavyo Mzabuni anaweza kupanga Bei ya bidhaa wakati wa tendering. Je, Kuna Mwongozo WOWOTE wa kisheria au Kanuni? Mfano ..Kama Bei ya nyama sokoni ni Sh.8000/ ,au Sembe Kg ni Sh.1500/ Hapo Bei za Zabuni zinakuwaje?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,525 Reaction score 830,074 Jun 13, 2023 #2 Unaongeza faida toka kwenye bei yenye faida Unaongeza asilimia ya wahusika Unaongeza asilimia itakayopunguzwa
Unaongeza faida toka kwenye bei yenye faida Unaongeza asilimia ya wahusika Unaongeza asilimia itakayopunguzwa
raiswenu JF-Expert Member Joined Apr 20, 2018 Posts 995 Reaction score 1,720 Jun 13, 2023 #3 Wasiliana na watu wa manunuzi
Spectophotometer JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 375 Reaction score 503 Jun 18, 2023 #4 Zidisha Mara 0.5 kila bidhaa utapata bei reasonable mkuu. Mfano Sukari Bei ni 3000 Bei yako itakuwa 3000x0.5=1500+3000=4500 So bei isizidi 4500
Zidisha Mara 0.5 kila bidhaa utapata bei reasonable mkuu. Mfano Sukari Bei ni 3000 Bei yako itakuwa 3000x0.5=1500+3000=4500 So bei isizidi 4500
M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 8,098 Reaction score 10,936 Jun 18, 2023 Thread starter #5 Spectophotometer said: Zidisha Mara 0.5 kila bidhaa utapata bei reasonable mkuu. Mfano Sukari Bei ni 3000 Bei yako itakuwa 3000x0.5=1500+3000=4500 So bei isizidi 4500 Click to expand... Ahsate,hapo na VAT inejunuishwa ??
Spectophotometer said: Zidisha Mara 0.5 kila bidhaa utapata bei reasonable mkuu. Mfano Sukari Bei ni 3000 Bei yako itakuwa 3000x0.5=1500+3000=4500 So bei isizidi 4500 Click to expand... Ahsate,hapo na VAT inejunuishwa ??
Spectophotometer JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 375 Reaction score 503 Jun 19, 2023 #6 MAKULUGA said: Ahsate,hapo na VAT inejunuishwa ?? Click to expand... Yeah! Unahisi hutapata faida?