Wayback: Gono ni hatari sana

Wayback: Gono ni hatari sana

Saikolojia ya maandishi na namna alivyoandika. Usijali nimejuaje ni kitu nina utaalamu nacho.

Ni course inaItwa CRITICAL DISCOURSE ANALYSIS CDA
Ni nini kinatokea kwenye ubongo wake au ni jambo gani linamsibu haswa kichwani mpaka anaamua kusingizia ni rafiki yake na sio yeye?

Istoshe humu ID nyingi huwa Anonymous mkuu..

Unaweza kunielezea na hapa?
 
Ukiipata hii unakimbilia hospital mwenyewe tuu, unahis mkojo muda wote, ukikojoa hata tone tuu pipe inauma alafu unavuja usaha muda wote. Kuna nini tena hapo

Wapo watu kwa kutolijua gono, ile siku ya kwanza wanakausha, ulale nalo sasa uamke siku ya pili bila sindano! 😊
Siri ya gono ni kuwahi bomba chap, asubuhi mapema sana, we timba kliniki. 😊
 
Ni nini kinatokea kwenye ubongo wake au ni jambo gani linamsibu haswa kichwani mpaka anaamua kusingizia ni rafiki yake na sio yeye?

Istoshe humu ID nyingi huwa Anonymous mkuu..

Unaweza kunielezea na hapa?
Sababu ya kwanza mtu aliyepatwa na tukio au aliyefanyiwa kitu kibaya na mwingine, mtendewa ndiye hukumbuka tukio kuliko mtenda. Maandishi ni hisia kutoka kwenye ubongo wa mtu.
Cha pili kanukuu hadi mwaka wa mda mrefu maana yake huwezi kubeba kumbukumbu ya mtu mwingine isiyokupa faida yoyote na kuweka kama wasifu. Ni rahisi sana hata wewe kukumbuka miaka na matukio magumu yaliyokukuta.

Cha tatu namna alivyoanza kuhadithia "kuna jamaa yangu" maana yake hana uhakika.
 
Back
Top Bottom