Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,162
- 61,660
Kwa sisi Wanaume huchukua masaa tu kuweza kuonekana athari zake
Kwa wenzetu Wanawake, wanaweza kukaa miezi bila kuonekana
Athari zake kwao, huonekana kwa kuchelewa kushika ujauzito ukikaa muda mrefu bila kutibika(huwa inakula Via vya uzazi)
All in all, tujiepushe na ngono zembe kwa Usalama wa afya zetu