SureVitu vitatu ambavyo mwanaume inabidi uvi-control wewe na sio viku-control vyenyewe;
1. Uume
2. Hasira
3. Mdomo
Kuna watu wengi sana wamepoteza kila kitu kisa tu kuvamia kila siketi inayopita mbele yao.
Hilo lidudu dudu lako hilo ndio mchawi mwenyewe na sio kingine.
Aliponaje au alitumia dawa gani?jamaa alikua analia kama mtoto mdogo 😆
IndeedVitu vitatu ambavyo mwanaume inabidi uvi-control wewe na sio viku-control vyenyewe;
1. Uume
2. Hasira
3. Mdomo
Kuna watu wengi sana wamepoteza kila kitu kisa tu kuvamia kila siketi inayopita mbele yao.
Hilo lidudu dudu lako hilo ndio mchawi mwenyewe na sio kingine.
Vitu vitatu ambavyo mwanaume inabidi uvi-control wewe na sio viku-control vyenyewe;
1. Uume
2. Hasira
3. Mdomo
Kuna watu wengi sana wamepoteza kila kitu kisa tu kuvamia kila siketi inayopita mbele yao.
Hilo lidudu dudu lako hilo ndio mchawi mwenyewe na sio kingine.
Unaweza kumuona mwenzio ni kama amefanya jambo la kijinga halafu ikifika zamu yako unafanya upumbavu tu bora hata alichokifanya yeye..Gono is not the big deal shida ni wewe unayepiga kavukavu hujielewi
Hili gonjwa ni Noma,kule Mbeya wakati wa baridi ndio lilikuwa linatokeza,Kuna Jamaa kidogo Dushe likatike!Injections.... zilimuhusu na zenyewe akawa anasema zinauma kuliko hivyo viwembe alivyokuwa anakojoa
Hiki kitu nimewahi kukisikia ila sikuwahi kufikiria kama kina ukweli wowote!Ugonjwa unao umaliza uume ni upi? Kuna kaka angu aliwahi umwa huo, kichwa cha uboo kilikua kinalika, alipoona kinazidi ilibidi aweke wazi.
Duuuh. Ni upi huo?