Kama tumesoma shule moja vile 😅😅Kumbuka sijui form two au form one....
Tulifundishwa kuhusu hayo magonjwa tukaonyeshwa na picha......
jioni yake tukaletewa movie kuonyeshwa magonjwa ya zinaaa!!!!!
Bwana eee wikiend yake si kukawa na disco boys wakaletwa na wao kumbe walionyeshwa ili movie jinsi kibolo kilivyoisha.
Yaani lile disco lilichezwa kwa amani na hakukuwa na ulinzi wa kukagua walana denda wapigana romance wala miti.
😁😁😁Kumbuka sijui form two au form one....
Tulifundishwa kuhusu hayo magonjwa tukaonyeshwa na picha......
jioni yake tukaletewa movie kuonyeshwa magonjwa ya zinaaa!!!!!
Bwana eee wikiend yake si kukawa na disco boys wakaletwa na wao kumbe walionyeshwa ili movie jinsi kibolo kilivyoisha.
Yaani lile disco lilichezwa kwa amani na hakukuwa na ulinzi wa kukagua walana denda wapigana romance wala miti.
Gono mwenyewe utaliwahi. Man, unakojoa dagaaMAgonjwa hayo usipoyawahi ni balaa
jamaa alikua analia kama mtoto mdogo 😆
😀😀Uume ungekuwa tu 1 to 3 then zifuatie nyinginezoVitu vitatu ambavyo mwanaume inabidi uvi-control wewe na sio viku-control vyenyewe;
1. Uume
2. Hasira
3. Mdomo
Kuna watu wengi sana wamepoteza kila kitu kisa tu kuvamia kila siketi inayopita mbele yao.
Hilo lidudu dudu lako hilo ndio mchawi mwenyewe na sio kingine.
Ukienda kizembe manesi wakali wanataka umlete ulieshiriki nae. Kwasababu kwa wanawake linajificha sana.Gono sio poa mkali, dawa yake huwa ni kuwahi kliniki, usikubali jua lizame hujaanza dozi. 😊
Hakuna kupindisha macho ni mtoa mada.Watakuja kuseme huyo jamaa yako ni wewe,
Nimesema watakuja kusema,
Nadhani mpaka hapa nimeeleweka ndugu wananchi sio?
Ukienda kizembe manesi wakali wanataka umlete ulieshiriki nae. Kwasababu kwa wanawake linajificha sana.
Teh teh teh, nimesahau ngoja nisubiri wa kujichomoa ubongo mwingine aanzishe thread ya mapenzi, mahusiano na kupendana mafichoni na hadharani..😀😀Uume ungekuwa tu 1 to 3 then zifuatie nyinginezo
Gonjwa la aibu GONO