Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,609
- 51,525
Hii link inatoa top ten ya nchi zenye watu wanoongoza kwa IQKwa taraatifa yako hakuna jamii ya wasingapore wakazi wa pale kabla British hajaweka port walikua wanakaa Malayan, baadae wakaja wachina, wahindi na jamii nyingine
Wayahudi wanaakili Sana angalia wakina Einstein, Larry page, Zuckerberg, Karl Marx, Rothschild n.k