Sergei Shoigu awekwa pembeni majukumu ya kijeshi

Pearce

JF-Expert Member
Dec 15, 2018
577
1,381
Wakati vita ikiendelea Vizuri na malengo yetu kutimia bwana Putin amemuweka Pembeni waziri wake wa Ulinzi Shoigu.

Na majenerali wameanza kumruka kutoa ripoti (Chain of Command) hivyo anabaki kama pambo. Si ajabu tukasikia hapo baadae kuwa ni msaliti akapotezwa kama hulka ya ya bwana Putin Mkombozi na Shujaa wa wavaa kobazi Duniani.

NB: Pia SPUTNIK wanaripoti mpaka kufika masaa 13 ya Counter offensives ya Jeshi la Ukraine tayari Wameuliwa tayari askari 16,551 wa Kiukraine na idadi kubwa ya magari ya Vita yakiharibiwa.

Kwa taarifa zaidi muone ajenti wao wa bongo Mwandishi Sikirimasikini.

Na log off Z
 
Duuuh kuna Uzi humu umeletwa mida hiihii unasema wameua 1200 mara hii washafika 16000 Urusi kiboko
 
Hii vita ishawashinda Ukraine, maana hadi leo wamepoteza wanajeshi zaidi ya Milioni 6

Leo tu wamepoteza wanajeshi 35000 hadi muda huu

Ndege vita zaidi ya 230

Himars 48
 
Hatari kilichobaki bwana Putin ashike mtutu aingie mstari wa mbele sasaa na yeye akawalenge tu waukraine Milioni 6 masaa 13
 
Hii vita ishawashinda Ukraine, maana hadi leo wamepoteza wanajeshi zaidi ya Milioni 6

Leo tu wamepoteza wanajeshi 35000 hadi muda huu

Ndege vita zaidi ya 230

Himars 48
Ha ha ha ha ha ha haha! Urusi mtu mbaya sana! Mother fvq fascist.
 
Wakati vita ikiendelea Vizuri na malengo yetu kutimia bwana Putin amemuweka Pembeni waziri wake wa Ulinzi Shoigu.

Na majenerali wameanza kumruka kutoa ripoti (Chain of Command) hivyo anabaki kama pambo. Si ajabu tukasikia hapo baadae kuwa ni msaliti akapotezwa kama hulka ya ya bwana Putin Mkombozi na Shujaa wa wavaa kobazi Duniani.

NB
Pia SPUTNIK wanaripoti mpaka kufika masaa 13 ya Counter offensives ya Jeshi la Ukraine tayari Wameuliwa tayari askari 16,551 wa Kiukraine na idadi kubwa ya magari ya Vita yakiharibiwa.

Kwa taarifa zaidi muone ajenti wao wa bongo Mwandishi Sikirimasikini

Na log off Z
Ongela kwa kubuni nyuzi ya kijifariji maana kitu mlichofanyiwa leo (failed offensive) hamtakuja msahau
 
Hawatasahau maana mpaka saivi tayari casualities wamefika 24000 wa ukraine na vifaru 800
 
Wakati vita ikiendelea Vizuri na malengo yetu kutimia bwana Putin amemuweka Pembeni waziri wake wa Ulinzi Shoigu.

Na majenerali wameanza kumruka kutoa ripoti (Chain of Command) hivyo anabaki kama pambo. Si ajabu tukasikia hapo baadae kuwa ni msaliti akapotezwa kama hulka ya ya bwana Putin Mkombozi na Shujaa wa wavaa kobazi Duniani.

NB
Pia SPUTNIK wanaripoti mpaka kufika masaa 13 ya Counter offensives ya Jeshi la Ukraine tayari Wameuliwa tayari askari 16,551 wa Kiukraine na idadi kubwa ya magari ya Vita yakiharibiwa.

Kwa taarifa zaidi muone ajenti wao wa bongo Mwandishi Sikirimasikini

Na log off Z
Ukrainian saboteurs were reportedly “destroyed” Tuesday morning in the Tavrichesky microdistrict of Kherson, according to a Russian military leader.

Kherson has become the latest focal point of the Russia-Ukraine war as Ukraine has amped up pressure to reclaim the southern city with a counteroffensive that has included gunfire, shelling and explosions. Ukrainian presidential adviser Oleksiy Arestovych described his country’s efforts as a “slow operation to grind the enemy.”

CNN has reported that Ukrainians have successfully seized four villages near Kherson that Russia had occupied since the…

Continue Reading

News Source: Russia says Ukrainian saboteurs killed in Kherson amid counteroffensive
 
Source ni CNN.
 
Hii vita ishawashinda Ukraine, maana hadi leo wamepoteza wanajeshi zaidi ya Milioni 6

Leo tu wamepoteza wanajeshi 35000 hadi muda huu

Ndege vita zaidi ya 230

Himars 48
HIMARS 48Ukraine wamezitowa wap wakati USA amewapa Ukraine hata 20 hazifiki.... Chanza cha habar yako?
 
Back
Top Bottom