Wayahudi ni jamii ya watu wenye akili nyingi (High IQ)

Pearce

JF-Expert Member
Dec 15, 2018
577
1,381
Unapozungumzia Teknolojia, Kisiasa na kimifumo ya Maisha Duniani na Uvumbuzi nadhani Wayahudi wanabaki kuwa watu wenye akili Duniani na kuheshimika

Tunaona leo mtu aliekuwa na damu ya kiyahudi Zelensky anavyomhenyesha Putin anayetaka kuunda tena Mfumo ambao ulihasisiwa na Wayahudi ukaifanya Urusi kuwahi onja U-super power duniani (Karl Marx na kufanikishwa na kina Trosky).

Taste ambayo imekuwa ndoto pendwa ambayo haitawahi timia tena. Sababu moja wapo Umoja huo ukiwa katika hatua za awali za mafanikio Stalin alianzisha the Purge ambapo aliwaondosha Wyahudi Elites katika Serikali yake, Lakini akajawakumbatia wakati Vita ya Dunia ya pili mambo yalivyoanza kuwa Mlama.

Leo hii Taja Taaluma yoyote Duniani na Uvumbuzi ulioigeuza Dunia pasipo Myahudi Kuhusika.

Kuna jamii ya Wayahudi zaidi ya laki mbili wanaoishi Ukraine na unaona jinsi Ushawishi wake na mikakati inavyofanyika.

Wakitumia mbinu zaidi ya kumchosha bwana Putin anaeamini Falsafa za BANZAI na Order No 227. ambao kuamini malengo lazima yafikiwe pasipo kufikiri madhara juu ya askari wako (muda mwingine kuwaua watu wako kwa jina la Uzalendo).

Leo hii unaona jinsi Ukraine wanavyopigana kwa akili nyingi sana kwahiyo utawaua 20 lakini kwa gharama ya askari wako 1900.

Tunajifunza pia Wayahudi hawaamini mafaniko ya idadi ya kuwa na watu wengi na magari ya vita mengi hili ushinde vita rejea Vita yao ya Uhuru, na ile Six day war.

Kwa udhamini: Na log off Z
 
 
"Wazungu" na mimi nimezungumzia "Damu ya Wayahudi"

Na pili tunaangalia matokeo ya kimaisha katika kupima intelligence quotient....Uafrika kuna mahali tumekwama tuseme leo hii kinyakati kama Siraha tunazonunua kwao na kupigana sisi kwa sisi ni kizazi na ww1 na ww2..kimuda nyakati tunaishi nyuma hata kwa miaka 100

NimuAfrika nina marafiki ambao ni Wazungu pure nimekiona icho
 
"Wazungu" na mimi nimezungumzia "Damu ya Wayahudi"

Na pili tunaangalia matokeo ya kimaisha katika kupima intelligence quotient....Uafrika kuna mahali tumekwama tuseme leo hii kinyakati kama Siraha tunazonunua kwao na kupigana sisi kwa sisi ni kizazi na ww1 na ww2..kimuda nyakati tunaishi nyuma hata kwa miaka 100

NimuAfrika nina marafiki ambao ni Wazungu pure nimekiona icho
Uwezo wa akili haupimwi na technology au innovation peke yake, kwani lengo kuu la sisi kuwa hapa duniani ni lipi? Sisi wa Afrika tulikwishalijua, maisha ni mafupi tunakula bata tu
 
Soma dying statement ya SteveJobs, founder of Apple ndiyo utajua haujui
at low level tu nikiamua kupanda miti 30 sitafaidika mimi ila watoto na wajukuu zangu watafaidi hayo matunda.

hiyo ni kitu kipo kwenye Dna ya kila kiumbe Surviving na Legacy ( unadhani kwanini umemtaja Steve Job) na kwanini kashafariki anatajwa mpaka leo kinywani mwako

Watoto wake wanaendelea kula matunda ya baba yao
 
at low level tu nikiamua kupanda miti 30 sitafaidika mimi ila watoto na wajukuu zangu watafaidi hayo matunda.

hiyo ni kitu kipo kwenye Dna ya kila kiumbe Surviving na Legacy ( unadhani kwanini umemtaja Steve Job) na kwanini kashafariki anatajwa mpaka leo kinywani mwako

Watoto wake wanaendelea kula matunda ya baba yao
You are so naive, kuna gap kubwa ya ulewa kati yetu. Elimika na makinika
 
You are so naive, kuna gap kubwa ya ulewa kati yetu. Elimika na makinika
Sijui sababu tumehamia kwenye ulimwengu wa falsafa na ndio maana katika ulimwengu huo kuna School of thought...at the end kila mtu anasimama katika alichokiamini na facts zake

Nimekuheshimu sababu level uliokuja nayo kiuelewa kuhusu falsafa siwezi kurespond sawa na hawa Warusi wabongo wanaohitaji uwajibu kisawa na level ya uelewa wao (kiUshabiki).
 
Unapozungumzia amani, upendo na furaha basi moja kwa moja utakua mchoyo wa fadhira usipomuweka mtanzania

Mtanzania ni mtu gani ? Hii ni jamii ya watu wenye IQ kubwa duniani na akili zao wanazitumia sana katika kutafuta furaha na amani, hii ni jamii ya watu ambao wanaishi kama wajinga ila hawana noma na mtu yani wanapenda kusapoti mambo makubwa yaliyofanywa na watu wa jamii zingine kama wayahudi, wachina, wajerumani n.k hawana wivu wapo neutral sana hii ndo sababu inayofanya waonekane wajinga ila ni watu waliobarikiwa sana yani hata ukimuudhi kiasi gani basi yeye atatafuta namna gani afanye ili apate furaha na atasahau maudhi yote sio jambo rahisi rahisi kibinadamu

Sio watu wa maandamano..
Sio watu wakufanya mapinduzi
Sio watu wenye hasira kali
Sio watu wa vurugu na kupenda ugomvi

Ni watu wa amani wanatumia akili zao vizuri sana kutafuta furaha mfano mzuri litokee jambo lolote la uonezi lililofanywa na watawala basi watalizungumzia kidogo tu alafu watatafuta namna gani wapate furaha basi utawakuta kwapamoja watawala na wananchi wakipoza hasira zao kwa kuzungumzia simba na yanga ghafla furaha yao hurudi na kusahau yaliyotokea

Watanzania wanaweza kuishi nyumba moja watu wadini tofauti na amani ikawepo hawa jamaa wanaakili sana yani ukizungumzia mtanzania au mbongo kwa lugha nyepesi utapata tafsiri ya watu wenye akili zaidi za kutafuta furaha duniani jamaa wana IQ kubwa sana

Nawapenda sana wabongo
 
Kwa taraatifa yako hakuna jamii ya wasingapore wakazi wa pale kabla British hajaweka port walikua wanakaa Malayan, baadae wakaja wachina, wahindi na jamii nyingine

Wayahudi wanaakili Sana angalia wakina Einstein, Larry page, Zuckerberg, Karl Marx, Rothschild n.k
Hebu google basi countries/societies with higher iQ
 
Back
Top Bottom