Wayahudi ni jamii ya watu wenye akili nyingi (High IQ)

Kwa taraatifa yako hakuna jamii ya wasingapore wakazi wa pale kabla British hajaweka port walikua wanakaa Malayan, baadae wakaja wachina, wahindi na jamii nyingine

Wayahudi wanaakili Sana angalia wakina Einstein, Larry page, Zuckerberg, Karl Marx, Rothschild n.k
Hii link inatoa top ten ya nchi zenye watu wanoongoza kwa IQ

Unapozungumzia Teknolojia, Kisiasa na kimifumo ya Maisha Duniani na Uvumbuzi nadhani Wayahudi wanabaki kuwa watu wenye akili Duniani na kuheshimika

Tunaona leo mtu aliekuwa na damu ya kiyahudi Zelensky anavyomhenyesha Putin anayetaka kuunda tena Mfumo ambao ulihasisiwa na Wayahudi ukaifanya Urusi kuwahi onja U-super power duniani (Karl Marx na kufanikishwa na kina Trosky).

Taste ambayo imekuwa ndoto pendwa ambayo haitawahi timia tena. Sababu moja wapo Umoja huo ukiwa katika hatua za awali za mafanikio Stalin alianzisha the Purge ambapo aliwaondosha Wyahudi Elites katika Serikali yake, Lakini akajawakumbatia wakati Vita ya Dunia ya pili mambo yalivyoanza kuwa Mlama.

Leo hii Taja Taaluma yoyote Duniani na Uvumbuzi ulioigeuza Dunia pasipo Myahudi Kuhusika.

Kuna jamii ya Wayahudi zaidi ya laki mbili wanaoishi Ukraine na unaona jinsi Ushawishi wake na mikakati inavyofanyika.

Wakitumia mbinu zaidi ya kumchosha bwana Putin anaeamini Falsafa za BANZAI na Order No 227. ambao kuamini malengo lazima yafikiwe pasipo kufikiri madhara juu ya askari wako (muda mwingine kuwaua watu wako kwa jina la Uzalendo).

Leo hii unaona jinsi Ukraine wanavyopigana kwa akili nyingi sana kwahiyo utawaua 20 lakini kwa gharama ya askari wako 1900.

Tunajifunza pia Wayahudi hawaamini mafaniko ya idadi ya kuwa na watu wengi na magari ya vita mengi hili ushinde vita rejea Vita yao ya Uhuru, na ile Six day war.

Kwa udhamini: Na log off Z
Jamii za watu wenye IQ kubwa ni jamii za watu wa mashariki mwa Asia ya mbali:- i, China
ii, Japan
iii, Korea
iv, India and so on.
 
Unapozungumzia amani, upendo na furaha basi moja kwa moja utakua mchoyo wa fadhira usipomuweka mtanzania

Mtanzania ni mtu gani ? Hii ni jamii ya watu wenye IQ kubwa duniani na akili zao wanazitumia sana katika kutafuta furaha na amani, hii ni jamii ya watu ambao wanaishi kama wajinga ila hawana noma na mtu yani wanapenda kusapoti mambo makubwa yaliyofanywa na watu wa jamii zingine kama wayahudi, wachina, wajerumani n.k hawana wivu wapo neutral sana hii ndo sababu inayofanya waonekane wajinga ila ni watu waliobarikiwa sana yani hata ukimuudhi kiasi gani basi yeye atatafuta namna gani afanye ili apate furaha na atasahau maudhi yote sio jambo rahisi rahisi kibinadamu

Sio watu wa maandamano..
Sio watu wakufanya mapinduzi
Sio watu wenye hasira kali
Sio watu wa vurugu na kupenda ugomvi

Ni watu wa amani wanatumia akili zao vizuri sana kutafuta furaha mfano mzuri litokee jambo lolote la uonezi lililofanywa na watawala basi watalizungumzia kidogo tu alafu watatafuta namna gani wapate furaha basi utawakuta kwapamoja watawala na wananchi wakipoza hasira zao kwa kuzungumzia simba na yanga ghafla furaha yao hurudi na kusahau yaliyotokea

Watanzania wanaweza kuishi nyumba moja watu wadini tofauti na amani ikawepo hawa jamaa wanaakili sana yani ukizungumzia mtanzania au mbongo kwa lugha nyepesi utapata tafsiri ya watu wenye akili zaidi za kutafuta furaha duniani jamaa wana IQ kubwa sana

Nawapenda sana wabongo
Hata mimi nimekuelewa sanaa
 
Unapozungumzia Teknolojia, Kisiasa na kimifumo ya Maisha Duniani na Uvumbuzi nadhani Wayahudi wanabaki kuwa watu wenye akili Duniani na kuheshimika

Tunaona leo mtu aliekuwa na damu ya kiyahudi Zelensky anavyomhenyesha Putin anayetaka kuunda tena Mfumo ambao ulihasisiwa na Wayahudi ukaifanya Urusi kuwahi onja U-super power duniani (Karl Marx na kufanikishwa na kina Trosky).

Taste ambayo imekuwa ndoto pendwa ambayo haitawahi timia tena. Sababu moja wapo Umoja huo ukiwa katika hatua za awali za mafanikio Stalin alianzisha the Purge ambapo aliwaondosha Wyahudi Elites katika Serikali yake, Lakini akajawakumbatia wakati Vita ya Dunia ya pili mambo yalivyoanza kuwa Mlama.

Leo hii Taja Taaluma yoyote Duniani na Uvumbuzi ulioigeuza Dunia pasipo Myahudi Kuhusika.

Kuna jamii ya Wayahudi zaidi ya laki mbili wanaoishi Ukraine na unaona jinsi Ushawishi wake na mikakati inavyofanyika.

Wakitumia mbinu zaidi ya kumchosha bwana Putin anaeamini Falsafa za BANZAI na Order No 227. ambao kuamini malengo lazima yafikiwe pasipo kufikiri madhara juu ya askari wako (muda mwingine kuwaua watu wako kwa jina la Uzalendo).

Leo hii unaona jinsi Ukraine wanavyopigana kwa akili nyingi sana kwahiyo utawaua 20 lakini kwa gharama ya askari wako 1900.

Tunajifunza pia Wayahudi hawaamini mafaniko ya idadi ya kuwa na watu wengi na magari ya vita mengi hili ushinde vita rejea Vita yao ya Uhuru, na ile Six day war.

Kwa udhamini: Na log off Z
Tatizo dogo wewe ni mjinga kwenye suala la historia. Wale unaowaita leo ni Wayahudi ni khazarians ambao sio Wayahudi by origin Bali ni khazarians, ambao ni waturuki by origin. Ila ni Wayahudi by conversion
 
Nadhani we ni kiazi
Baba yako akiwa Mzaramo akakuzaa wewe ukaenda kuolewa ujitani kunaweza ondoa asili yako kuvaa vijora na Uzalamu

Wayahudi waligawanyika makundi tofauti baada ya Uasi wa Simone Barkoba kushindwa na Jerusalem kuchomwa moto

Wapo walioenda ishi Ulaya (Ashkenazi) Middle east na Afrika kila sehemu wakawa na majina ya makundi yao

Jibu kwa much know wenye kufahamu historia kupitia vijiwe vya kahawa
 
Wayaudi ni wajanja wajanja wala si watu wenye IQ kubwa.
Mfano ya watu wajanja wajanja ni kama vile kikwete, obama, Dan Cooper etc.
watu wenye IQ kubwa wapo Hong Kong, tawain, Japan uko uchina.

Well said, binadamu wenye IQ kubwa Duniani ni Orientals (Chinese,Japanese and Koreans) Occidentals ni ujanja ujanja tu.
 
Nadhani we ni kiazi
Baba yako akiwa Mzaramo akakuzaa wewe ukaenda kuolewa ujitani kunaweza ondoa asili yako kuvaa vijora na Uzalamu

Wayahudi waligawanyika makundi tofauti baada ya Uasi wa Simone Barkoba kushindwa na Jerusalem kuchomwa moto

Wapo walioenda ishi Ulaya (Ashkenazi) Middle east na Afrika kila sehemu wakawa na majina ya makundi yao

Jibu kwa much know wenye kufahamu historia kupitia vijiwe vya kahawa
Huo ujinga unaosema hapa naweza kuupata kwenye kitabu kipi? Idiot 🚮
 
Nadhani we ni kiazi
Baba yako akiwa Mzaramo akakuzaa wewe ukaenda kuolewa ujitani kunaweza ondoa asili yako kuvaa vijora na Uzalamu

Wayahudi waligawanyika makundi tofauti baada ya Uasi wa Simone Barkoba kushindwa na Jerusalem kuchomwa moto

Wapo walioenda ishi Ulaya (Ashkenazi) Middle east na Afrika kila sehemu wakawa na majina ya makundi yao

Jibu kwa much know wenye kufahamu historia kupitia vijiwe vya kahawa
Ukisoma kitabu cha The Thirteenth tribe ujinga wako wa genetics utakutoka
 
Mtu ameandika Thesis yake kwenye Kitabu ambayo haijaweza ingizwa hata katika Historical debate.....halafu mtu umesoma kakitabu kamoja ambapo hakajaangukia pia kujadiliwa kwenye any school of thought ya historian.

Ni sawa kusoma Stori za Shigongo(zilizotolewa kwenye gazeti zikachapishwa kwenye kakitabu) halafu uje kifua mbele kwamba wewe ni Mwanataaluma.

Nadhani nimeelewa hapa naongea na kashabiki kavaa kobazi sina uhakika kama ni professionalism katika historia
 
Wayaudi ni wajanja wajanja wala si watu wenye IQ kubwa.
Mfano ya watu wajanja wajanja ni kama vile kikwete, obama, Dan Cooper etc.
watu wenye IQ kubwa wapo Hong Kong, tawain, Japan uko uchina.
I second this.

Dunia ya sasa imetawaliwa na Nchi za Asia mashariki hasa Japan.

Bila silicon hakuna Electronic yoyote ya kisasa inatengenezwa kuanzia processor, ram, storage etc na most purified silicon zinapatikana Japan pekee duniani.

Japan ndio watu pekee wanaotengeneza Kinu cha Nyuklia bila kuunga Chuma, yaani kinu kizima kinakuwa plate moja tu, hivyo inakuwa ngumu mionzi kupita, US kwenyewe Wanategemea Hitachi na Toshiba kwenye Nyuklia zao kufua.

Chemical zote za kutengenezea Display zinatoka Japan, Samsung ama LG wakitengeneza Display wanapewa hizi Chemical na Wajapan.

Ukija kwenye Battery ambazo zipo advanced zaidi utazipata japan.

Kifupi kila Technology unayoiona mahala ukifuatilia source yake unakuta Mjapan kahusika.
 
Back
Top Bottom