afsa
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 1,986
- 1,585
Wanabodi uhai Ndio kila kitu kwa kila raia wa Tanzania.
Waandishi wa habari niwaombe mwende ktk kijiji cha LUNALA huko magu muitangaze njaa bila uoga.
Kuna watu wawili wamekufa. Ni wazee. Wamezikwa. Wamekufa kwa njaa. Walikuwa wanaishi peke yao.
Namba ya simu ya mtu wa kuwaongoza mkifika kijijini hapo nitawapa, sio vizuri kuiweka hapa mwenye nia anifuate pm.
Rais anataka kuwaongoza wafu?