Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,647
- 272,448
Hawajafa kwa njaa , wamekufa kwa changamoto ya chakula .
Wazee hao walikuwa wamezunguukwa na wanyama pori na hata taarifa hii imeletwa na mnyama pori aliyefika kujua namna wazee hao watakavyo kufa.Wanabodi uhai Ndio kila kitu kwa kila raia wa Tanzania.
Waandishi wa habari niwaombe mwende ktk kijiji cha LUNALA huko magu muitangaze njaa bila uoga.
Kuna watu wawili wamekufa. Ni wazee. Wamezikwa. Wamekufa kwa njaa. Walikuwa wanaishi peke yao.
Namba ya simu ya mtu wa kuwaongoza mkifika kijijini hapo nitawapa, sio vizuri kuiweka hapa mwenye nia anifuate pm.
Rais anataka kuwaongoza wafu?
Duh!!!Wawili wachache hivyo,polisi wamekufa nane acha tudeal na mambo ya msingi
Kwahiyo ukilima unavuna siku hiyo hiyo?!Mbona aridhi ya kijani hivi na majani yameota kibao
Wewe ni mwendawazimu sana.Wawili wachache hivyo,polisi wamekufa nane acha tudeal na mambo ya msingi