miti ya mbao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Nauza Miti Ya Mbao Pines Ina miaka 14!

    Habari wana Jukwaa Nauza miti ya mbao yenye umri wa miaka 14 iko Wilaya ya Mufindi Kijiji cha Mapanda Iringa Tanzania Ukubwa wa Ekari 25 imetosha Kuvunwa ( mbao) inauzwa yote kwa pamoja bei ni Tsh 85,000,000/= Maongezi yapo… KARIBUNI SA Mawasiliano 📞 0750827076 ( WhatsApp Tu )
  2. SILLENT KILLER 2

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha miti ya mbao

    Ningeomba kwa watu wanaojua kuhusu kilimo cha miti ya mbao changamoto, faida, upandaji na utunzaji wake na maeneo gani unatakiwa uoteshe hiyo miti kwa hapa Tanzania. Nitashukuru kwa mawazo wakuu
  3. The Puncher

    JamiiForums Tanzania Shamba ekari 60 linauzwa Mufindi, linafaa kwa Parachichi au Miti ya mbao

    Habari wakuu, Pesa isikae mfukoni, tununue ardhi. Kwa aliyekuwa anahitaji ardhi kwa ajili ya kilimo cha parachichi, sasa jibu limepatikana. Kuna shamba la ekari 60 Mufindi linauzwa kwa bei nzuri. Shamba halijatumika kwa miaka mingi, kwa hiyo lina rutuba na linafaa kwa kilimo cha parachichi na...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mashamba ya miti ya mbao yanauzwa

    Kwa wale waliotayari kuwekeza kwenye uwekezaji usio na hasara mnakaribishwa sana. Mashamba ya miti ya mbao aina ya MIKARIBEA pamoja na ardhi yake yanauzwa. La kwanza lina ukubwa wa ekari tatu na nusu na miti yake ni umri wa miaka 7 bei ni milioni 10. La pili lina ukubwa wa ekari 30 ivi kwa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wawekezaji karibuni shamba la miti ya mbao liko sokoni

    Kwa wale waliotayari kuwekeza kwenye uwekezaji usio na hasara mnakaribishwa sana Mashamba ya miti ya mbao aina ya MIKARIBEA pamoja na ardhi yake yanauzwa La kwanza lina ukubwa wa ekari tatu na nusu na miti yake ni umri wa miaka 7 bei ni milioni 10. La pili lina ukubwa wa ekari 30 ivi kwa...
  6. JOSEPHAT_07

    JamiiForums Tanzania Biashara ya miti ya mbao Iringa

    Naomba kujua kuhusu bishara ya miti yambao Iringa. Ninataka kununua shamba ili nipande miti then baadae nije kuiuza. Nilichokuwa nataka kujua ni... *Je, huwa inachukua miaka mingapi? *Bei ya kila mti ni shillingi ngapi? *Na pia gharama zingine kama zipo *Na weza nikaanza na heka ngapi Kuhusu...
Back
Top Bottom