tuanzie kwenye malezi..
ikitokea wazazi mkawa na mtizamo tofauti katika kulea, tatizo linazaliwa..
therefore:
-----
- wazazi wawe na msimamo wa pamoja katika malezi---ikitoke baba umemwadhibu mtoto kwa kumisbehave then akaenda kwa mama kulalamika, hapo mama unatakiwa kutoa dozi nyingine
- kama ni single parent na anapenda future ya mwanae wa kiume, a-play your role kum-shape awe wa kiume kwa kushirikiana na ndugu wengine--kama wajomba, shangazi n.k
- kuwafundisha utamaduni wa kiafrika unaozingatia wakati tulio nao, kupunguza tatizo la utandawazi na neocolonialism
- kuwaacha watoto wajiexpose na watoto wenzao thru michezo mbalimbali ya kitoto-- (hapa nazungumzia wale wa geti kali VS wale wenzangu na mimi)
- kama kuna uwezekano wa kufanya seminars kuwafanya wajitambue-- (coz mambo ya jando na unyago siku hizo ndo yanaishia, imebaki bej party na kitchen party tu)
-----
HAYO NDIO YANGU MACHACHE--mnaweza kunikosoa pale ambapo nimebug step
Kavulana hata kukunja uso hakajui
Binti ndio anakuwa anakaangalia usoni halafu kenyewe ndio kanaangalia chini
Unadhani kuna kupewa game hapo?
neocolonialism is part and parcel of this problem...
-----
-----
ndio maana mabinti wanadate aged men coz hivyo vivulana havina behavior za kiumeni..
-----
-----
Hivi mtoto kulelewa na mama vibaya?So sad toto langu nalo linakaa na Mama yake, yani hii inaniumiza akili kweli.
Siwezi kuwa proud kuwa na mtoto wa kiume halafu falafala tu, tangu amezaliwa hata adha ya kutembea kwa mguu kwenda shule haijui wala daladala kwake msamiati.
Nakumbuka tuliosoma private secondary school kipindi chetu jembe na panga zilikuwa ni requirements muhimu sana wakati ukireport form one.
Kipindi cha Agriculture darasani ilikuwa ni dakika 40 tu the rest of day ni kukomaza msuli kwenye shamba la shule. Kweli Mwalimu JK original aliandaa umma.
Hadi wabadilike
Nymbaaaafffffffffffffff!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwa hisani ya snowhite.......!!!!!!!!!!!!!!
snowhite alimuomba Babu Dark City afungue uzi kuhusiana na vivulana kuzidiwa na vibinti ujanja hadi kushindwa kuvishawishi kuvivua kyupi hadi kufikia kuja hapa JF na kulalamika eti dunia imevitenda
Hii ni aibu kubwa sana kwa jinsia ya kiume
Kwa niaba ya Babu DC[ Dark City ] nimeamua kufungua uzi huo ili maombi ya snowhite yatimizwe
Kitu gani kimetokea hadi mapinduzi haya ya kijinga kutokea kwa hivi vivulana vya sasa kuzidiwa kabisa na vibint vya siku hizi?
Soma huu uzi hapa kwa msaada zaidi:https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/565670-this-life-is-unfair-why-always-me.html
Haya ni majanga kabisa na ni laana kwa hili kutokea
Nakumbuka enzi hizo hakuna kabinti kalikokuwa kanaweza kuhimili vishindo vyetu,nahisi hii ndio sababu hata vibinti hivyo kuamua kujiridhisha vyenyewe kwa vyenyewe[usagaji] hii nayo ni laana nyingine
Siku mhizi kuna malalamiko mengi sana kuwa vijana hawawaridhishi wanawake,nyakati za nyuma haya hayakuwepo sijui ni shetani gani imeikumba hii jinsia adhimu ya kiume hadi kufikia wanawake kulalamika kiasi
Ki ukweli niliposoma haya malalamiko ya snowhite nimejisikia vibaya sana
uliye chuo
Mungu atusamehe na hii dhambi ya kijinga kabisa kwenye hii jinsia yetu
Hivi vivulana vya leo ni vijana wa kesho ni wanaume wa keshokutwa.hili ni janga
Kuna aina ya muziki ilikuwa sio ya vijana enzi hizo na ilikuwa inapendwa na wanawake lakini siku hizi imebadilika kuwa ni miziki ya hivi vivulana vya sasa,balaa gani hili
Nyakati hizo vijana na wanaume walikuwa wanalelewa kiume hasa na ukionekana una vi tabia vya kike kike kama hivyo basi unaipata
Ndio maana hata mashoga wanaongezeka siku hizi
Au malezi ndio tatizo???????????
Aaaaaaaaarrrrrrrgggggggggrrrrrhhhhhhhhhhh !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ahsante sana mkuu kwa kuanzisha huu uzi....
Mie nipigwa kila upande ila hili la Kigali nalo limenipa matatizo makubwa....
https://www.jamiiforums.com/mahusia...igali-kigali-jamani-nini-hii.html#post8043061
Nitatafuta muda nije kueleza machungu yangu zaidi kuhusu hao wajukuu zangu...
naona leo mmewakomalia...
Bujibuji juzi alileta uzi juu ya kijana mmoja asie na haya....eti anaenda kaa kwa dada yake anayemegwa na mshkaji,,si wachumba na hawajaona,
dogo wa sister anaenda kaa kushuhudia dada yake akila mpini.
Huo ni mfano na iko mingi.. Ifike mahali wazazi wawashauri vijana maisha ya kwenye tamthilia wayaache hukohuko,...