Kwanini kila wakati mnashusha bei ya bidhaa zenu ?
Leo unakuta mtu anauza/kutengeneza tovuti kwa laki nne kesho tatu keahokitwa mbili mara laki na 80 sasa hii biashara haiko stable kiasi hicho au inakuwaje wakati mwingine mtu anauza native app kwa laki tatu n.k , embu tuambie hilo soko linasumbua sana ndugu zangu ama mnaona ni kawaida kushusha bei mara kwa mara?
Basi hata kufanya freelance huko upwork, Fiverr, na freelancer inashindikana pia?
Maana huwa naona ni kama kuna kitu hakiko sawa.
Msinichukulie vibaya lakinI Haya mambo huwa nayafikiria sana atleast kama itashindikana ni bora kutengeneza solution ambayo mtakuwa mnachaji watu kwa mwezi au hii haiko poa na inashindikana?.
Leo 50% OFF KESHO 20% OFF ITAFIKA HADI 10%
Maybe wakomgwe watatoa duku duku lao pia kusaidia vijana wenzangu
Kwa hiyo hii ndo sababu ya kushusha bei kila mara?Miaka ya 2000 ilikuwa kutengeneza website ni project kabisa na hata mteja anajua kwamba ni kazi kama kazi zingine. Lakini baadae mambo yamegeuka , kozi za computer mtaani zimekuwa nyingi, ajira hakuna, wanaTehama wapo wengi. Unakuta website inatengenezwa kwa 30,000/
Naweza kusema pia zama zimebadilika, ushindani umeongezeka na kazi zimerahisishwa. Kwa mfano kutengeneza website kwa WordPress kumeleta rapid development , pia kuna software nyingi za designing ambazo haihitaji ueledi sana katika taaluma husika.
Kwanini kila wakati mnashusha bei ya bidhaa zenu ?
Leo unakuta mtu anauza/kutengeneza tovuti kwa laki nne kesho tatu keahokitwa mbili mara laki na 80 sasa hii biashara haiko stable kiasi hicho au inakuwaje wakati mwingine mtu anauza native app kwa laki tatu n.k , embu tuambie hilo soko linasumbua sana ndugu zangu ama mnaona ni kawaida kushusha bei mara kwa mara?
Basi hata kufanya freelance huko upwork, Fiverr, na freelancer inashindikana pia?
Maana huwa naona ni kama kuna kitu hakiko sawa.
Msinichukulie vibaya lakinI Haya mambo huwa nayafikiria sana atleast kama itashindikana ni bora kutengeneza solution ambayo mtakuwa mnachaji watu kwa mwezi au hii haiko poa na inashindikana?.
Leo 50% OFF KESHO 20% OFF ITAFIKA HADI 10%
Maybe wakomgwe watatoa duku duku lao pia kusaidia vijana wenzangu
Miaka ya 2000 ilikuwa kutengeneza website ni project kabisa na hata mteja anajua kwamba ni kazi kama kazi zingine. Lakini baadae mambo yamegeuka , kozi za computer mtaani zimekuwa nyingi, ajira hakuna, wanaTehama wapo wengi. Unakuta website inatengenezwa kwa 30,000/
Naweza kusema pia zama zimebadilika, ushindani umeongezeka na kazi zimerahisishwa. Kwa mfano kutengeneza website kwa WordPress kumeleta rapid development , pia kuna software nyingi za designing ambazo haihitaji ueledi sana katika taaluma husika.
Siku hizi website unatengeneza kwa only one click tu. Haitaji kuwa na skills kuhusu coding uanze from scratch. No!Kwa hiyo hii ndo sababu ya kushusha bei kila mara?
Na unashauri nini wafanye nini ama kuna alternative zaidi?
Yaani website bei inakuwa sawa na logo zile za elfu 30
Hadi hizo system wanazouza sio?Siku hizi website unatengeneza kwa only one click tu. Haitaji kuwa na skills kuhusu coding uanze from scratch. No!
Domain unanunua kwa shilling 1300 tu. Kilichobaki ni drag and drop tu. Unapata website murua. Kwa hiyo ukiuza hata kwa elfu 10 website unapata faida yako. [emoji1787]
Siku hizi website unatengeneza kwa only one click tu. Haitaji kuwa na skills kuhusu coding uanze from scratch. No!
Domain unanunua kwa shilling 1300 tu. Kilichobaki ni drag and drop tu. Unapata website murua. Kwa hiyo ukiuza hata kwa elfu 10 website unapata faida yako. [emoji1787]
Ujinga huu!Siku hizi website unatengeneza kwa only one click tu. Haitaji kuwa na skills kuhusu coding uanze from scratch. No!
Unanunua wapi domain ya .co.tz kwa mfano kwa 1,300TZS? Huu ujinga mwingine!Domain unanunua kwa shilling 1300 tu. Kilichobaki ni drag and drop tu. Unapata website murua. Kwa hiyo ukiuza hata kwa elfu 10 website unapata faida yako.
Sio uchafu wa local wa .co.tz nazungumzia .co.uk kwa Bei hiyo kumbe hata taarifa huna?Ujinga huu!
Web development ina sehemu mbili, Design na Development. Tools nyingi zinajaribu kupunguza Development time. Ila design work ipo pale pale.
Na kuna task ambazo inabidi uandike wewe au ununue kwa mtu iwe in form of code or Plugin.
Unanunua wapi domain ya .co.tz kwa mfano kwa 1,300TZS? Huu ujinga mwingine!
website gan napata domain ya co.uk kwa 13000Sio uchafu wa local wa .co.tz nazungumzia .co.uk kwa Bei hiyo kumbe hata taarifa huna?
Omba kistaarabu akujulishe kwa faida ya wote usilete kujua Bana!website gan napata domain ya co.uk kwa 13000
Tatizo lenu mnajua GoDaddy na hostinger peke yake... Kuna machimbo kibao ya kinyama unapata domain Kali kwa Bei Chee.. hata ukitaka .com kwa Bei ya hisani na private domain emails for a dirty cheap.website gan napata domain ya co.uk kwa 13000
ladha gani unazungumzia mzee? hivyo vya kwenye mabano vyote vinawezekana kwa wordpress mbona? Kutengeza basic website kwa kutumia css, html na js codes from scratch ni waste of time tu wakati kuna tools zinakurahisishia, tena zina ladha. Website nzuri kibao zipo za Wordpress na unaweza kuweka your own design sio lazima uchukue template.Hauwezi kulinganisha templates na website iliotengenezwa from scratch. Especially kwa kampuni ilio specific kwenye mpangilio wa website yao. (yaani wapi picha zikae, navigation ya aina gani, rangi za button, animations e.t.c.). Halafu hamna ladha kama website yako inafanana na wengine 5000. Hii inaweza kuchangia hata kupunguza wateja kwasababu wanaona website ipo blant haina ladha.
wapi napata mzee maana nna shida na domain na hostingTatizo lenu mnajua GoDaddy na hostinger peke yake... Kuna machimbo kibao ya kinyama unapata domain Kali kwa Bei Chee.. hata ukitaka .com kwa Bei ya hisani na private domain emails for a dirty cheap.
Tatizo hamtaki tueleweshane mnakimbilia na mnataka kumzodoa mtu. Haya.
mbona nimeandika kawaida sana brother, au nimeandikaje but am sorry for him kama uandishi haujakaa sawa.Omba kistaarabu akujulishe kwa faida ya wote usilete kujua Bana!
ladha gani unazungumzia mzee? hivyo vya kwenye mabano vyote vinawezekana kwa wordpress mbona? Kutengeza basic website kwa kutumia css, html na js codes from scratch ni waste of time tu wakati kuna tools zinakurahisishia, tena zina ladha. Website nzuri kibao zipo za Wordpress na unaweza kuweka your own design sio lazima uchukue template.
Sema kama una big project hapo sawa.
Wakuu naombeni msaada wa software ya doodle video maker au mbadala wake.
Umenifahamu lakini nlichokiandika?Ingekua ni rahisi hivi web development isingekua inakua kwa kasi kila mwaka. Wewe ingia Youtube search video za programming uone ni ipi topic ya programming ina video nyingi.