kuby juma
Member
- Sep 20, 2016
- 49
- 34
Mwenye cm ndogo used aka kiswaswadu line mbili anichek Whatsap 0714314361 usipige only whatsap bei ipo 10K
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimbembe cha kuflash!!!!!!nimeona hapo kwenye model SM-G928T, siku nyingne ukiona samsung yyt inayoishia na herufi tofauti na F/DS mf SM-G928F/DS au haina heruf nyuma ni namba tu kimbia, mf SM-G9280, ujue unauziwa unlocked na mtumba iliyotumika kwa angalau 2 yrs, na shida yake kubwa inakua kwenye network, unaweza usigundue kama upo sehem yenye network nzur , ila ukienda sehem yenye shda kdg tu ya network yako itasumbua ila nyingne zitapga kazi,
kwa ufup ni zile simu ambazo kwa huku bongo tunasema zimeflashiwa, au kwa lungha nyingne ni kama zile simu zinazouzwa kwa promotions na tigo ambapo lain lazima iwe ya tigo/inasoma tigo tu, sasa ili utumie lain za mitandao yote unaenda kwa wajanja wanaiflash,
kimbembe cha ku flash simu najua weng tunakifaham,
Hivyo epuka simu zinazmishia na heruf kama T, V, AT&T n.k hizo herufi ni majina ya zile kampuni za simu zilizoingia ubia na samsung: T- for T-mobile, V- for Verizon, AT&T- for american telephone and telegram.
pili epuka samsung yoyote ambayo imeandikwa jina kwa nyuma chini mf galaxy s6+ tofaut na neno samsung kwa nyuma juu, inatakiwa juu kue na neno samsung, chini kue na info za simu kwa maandisi madogo mf model(na hapa ndio unatakiwa ujue ile model kama ni hayo ma T, au F/DS) imei n.k au kama ni lain mbili watakuandikia neno DUOS juu ya hayo maandish madogo, kwaio ukiona tofaut na hvyo kimbia, na pia kama hakujaandikwa chochote kbsa pia anza kutumia akili yako vzr.
Mara nying refubs ndio zinakua na haya mapicha picha.
picha boss?A7 ya 2017
Ram 3gb
Rom 32gb
ina tatizo?
Tafuta Amazon ni pesa yako tu, ila bei zake ni kama HTC.Wakuu kwa hapa Tz ntapata wapi simu inayoitwa Google Pixel 3xl!! Nimechek wote wanaouza online via instagram, sijaona. Kama wafaham nijulishe ni wapi tafadhalView attachment 1066250View attachment 1066251
Tafuta Amazon ni pesa yako tu, ila bei zake ni kama HTC.
2 MillionAmbayo ni shngap?
Haina shida yeyote.. nipo mbeyaina tatizo?
na upo wapi?
2 Million
Nope, umewai kutumia HTC U Series?Sawa ahsante, nilichek juz inakaribiana sana na hiyo kias fln.
Sasa mkuu ni kwamba umeidharau hii pixel mpk uilinganishe na htc kweli au vp. Dah
No sijawah, ni zile HTc one m series tena kwa kuona kwa mtuNope, umewai kutumia HTC U Series?
mkuu izo ni kwa simu zote model yoyote ...na zinauzwa kote nchini
wauzaji tunaogopa kusema ilo neno kwa sababu wateja mnapata maana isio nzuri ndio maana tunasema mpya
ila ni simu nzuri hazina matatizo ...zina warranty ..sticker ile ni kwa ajili ya warranty
kingine znauzwa dunia nzima hadi wamarekani wananunua huku hizo ...australia ...European countries ukija china unaweza prove io
point nyingne why we sell refurbished phones
ni kwasababu ni nafuu compared na brand new kwenye specific stores ivo
kama kwenye magari tu tunavyonunua ex japanese coz ni nafuu kuliko gari ya pale TOYOTA Tanzania ivo tu mkuu hope itawasaidia weng
Sent from my iPhone using JamiiForums
Basi jaribu kuchunguza utajua,... Google Pixel, HTC U Series, ndio best android kwa USA.No sijawah, ni zile HTc one m series tena kwa kuona kwa mtu
Sawa chief..vp nikiagiza via amazon au ebay, uhakika wa kuipata si upo mana hua nasikia tu, sijawah jaribuBasi jaribu kuchunguza utajua,... Google Pixel, HTC U Series, ndio best android kwa USA.
Ni kama tapeli flani...Utarepost sana, umeambiwa weka picha watu tuione we hutaki