Wauza smartphone tukutane hapa

nimeona hapo kwenye model SM-G928T, siku nyingne ukiona samsung yyt inayoishia na herufi tofauti na F/DS mf SM-G928F/DS au haina heruf nyuma ni namba tu kimbia, mf SM-G9280, ujue unauziwa unlocked na mtumba iliyotumika kwa angalau 2 yrs, na shida yake kubwa inakua kwenye network, unaweza usigundue kama upo sehem yenye network nzur , ila ukienda sehem yenye shda kdg tu ya network yako itasumbua ila nyingne zitapga kazi,
kwa ufup ni zile simu ambazo kwa huku bongo tunasema zimeflashiwa, au kwa lungha nyingne ni kama zile simu zinazouzwa kwa promotions na tigo ambapo lain lazima iwe ya tigo/inasoma tigo tu, sasa ili utumie lain za mitandao yote unaenda kwa wajanja wanaiflash,
kimbembe cha ku flash simu najua weng tunakifaham,

Hivyo epuka simu zinazmishia na heruf kama T, V, AT&T n.k hizo herufi ni majina ya zile kampuni za simu zilizoingia ubia na samsung: T- for T-mobile, V- for Verizon, AT&T- for american telephone and telegram.

pili epuka samsung yoyote ambayo imeandikwa jina kwa nyuma chini mf galaxy s6+ tofaut na neno samsung kwa nyuma juu, inatakiwa juu kue na neno samsung, chini kue na info za simu kwa maandisi madogo mf model(na hapa ndio unatakiwa ujue ile model kama ni hayo ma T, au F/DS) imei n.k au kama ni lain mbili watakuandikia neno DUOS juu ya hayo maandish madogo, kwaio ukiona tofaut na hvyo kimbia, na pia kama hakujaandikwa chochote kbsa pia anza kutumia akili yako vzr.

Mara nying refubs ndio zinakua na haya mapicha picha.
Kimbembe cha kuflash!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
picha boss?
Hyo apo
20190406_153555.jpeg
IMG-20190406-WA0153.jpeg
 
Wakuu kwa hapa Tz ntapata wapi simu inayoitwa Google Pixel 3xl!! Nimechek wote wanaouza online via instagram, sijaona. Kama wafaham nijulishe ni wapi tafadhal
20190408_203430_rmscr-1.jpeg
20190408_202814_rmscr-1.jpeg
 
Nauza Iphone 5s 32Gb,finger print inafanya kazi,kiufupi kila kitu kipo fresh...Cover,Charger na Earphone zipo. Bei Tsh.300,000(serious buyer kuna maelewano)
Nichek tufanye biashara...0659495857
Nipo Kigoma mjini
IMG_6062.JPG
IMG_6069.JPG
IMG_6065.JPG
IMG_6068.JPG
IMG_6073.JPG
IMG_6078.JPG
IMG_6071.JPG



Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu izo ni kwa simu zote model yoyote ...na zinauzwa kote nchini

wauzaji tunaogopa kusema ilo neno kwa sababu wateja mnapata maana isio nzuri ndio maana tunasema mpya

ila ni simu nzuri hazina matatizo ...zina warranty ..sticker ile ni kwa ajili ya warranty

kingine znauzwa dunia nzima hadi wamarekani wananunua huku hizo ...australia ...European countries ukija china unaweza prove io


point nyingne why we sell refurbished phones

ni kwasababu ni nafuu compared na brand new kwenye specific stores ivo


kama kwenye magari tu tunavyonunua ex japanese coz ni nafuu kuliko gari ya pale TOYOTA Tanzania ivo tu mkuu hope itawasaidia weng


Sent from my iPhone using JamiiForums

Tufahamu hivi,... Kuna seller refurbished na manufacturer refurbished. Sasa nyingi zinazoletwa na wafanyabiashara wa TZ ni seller refurbished, simu inakuwa imepungua ubora wa hardware kwa zaidi ya asilimia thelathini.
Mfano: Hutolewa battery halisi na kuwekwa battery ambalo sio original kitu ambacho kinaweza kupelekea simu kutokutunza chaji kama ile brand new.

Hardware ubadilishwa baadhi ya vifaa na kupekekea kupungua ubora. Mf: simu inabalishwa housing na inawekwa housing isiyokuwa na watertight seals, na kupelekea kuondoa umadhubuti kwa simu yenye IP Certified Waterproof & Dustproof.

Cha niongeza,... Kweli, kwa nchi zilizoendelea refurbished phone zipo ila ni zile manufacturer refurbished ambazo ni kama mpya kwa asilimia 90

Ahsante.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom