Wauza smartphone tukutane hapa

Nauza 150,000/=Samsung j12016 iko vizuri tu nakupa na chaji yake nipo dar tabata Segerea no 0657438581
Picha nimeambatanisha hapo chiniView attachment 1067344View attachment 1067345View attachment 1067346
J1 ya miaka 3 iliopita hupati mtu mkuu. Lazima tuwe wakweli hapo. Kwanza kioo kinacracks/scratches za kufa tembo. Pili display yake ni ndogo sana kwa mtu kuvutiwa nayo wakati kwa hiyo bei mtu anapata itel/tecno yenye display kubwa. Pia hiyo simu ina internal storage ya 8gb!! Kwa maisha ya sasa, lowest storage ni 16 gb.

Tazama upya bei yako uje unadi biashara yako mkuu.
Kila la kheri

Sent from my SM-J700F using Tapatalk
 
Hiyo itel kamanda unadhani inaweza lingana na hii anyway, hii biashara huria na kila mtu ana panga bei kulingana na yeye mwenyewe
anavyo hitaji
J1 ya miaka 3 iliopita hupati mtu mkuu. Lazima tuwe wakweli hapo. Kwanza kioo kinacracks/scratches za kufa tembo. Pili display yake ni ndogo sana kwa mtu kuvutiwa nayo wakati kwa hiyo bei mtu anapata itel/tecno yenye display kubwa. Pia hiyo simu ina internal storage ya 8gb!! Kwa maisha ya sasa, lowest storage ni 16 gb.

Tazama upya bei yako uje unadi biashara yako mkuu.
Kila la kheri

Sent from my SM-J700F using Tapatalk
 
Kwa kuangalia tu hii ni ndefu au fupi? Hii ilikuwa kwenye box pamoja na nokia e5View attachment 1067351View attachment 1067352View attachment 1067353

Sent using My Xiaomi Redmi 4a
mzee hizi zenyewe hope hazitofautiani na hizi
originalnaya-garnitura-nokia-wh-102-hs-125-novaya-2-12736569.jpg
download.jpg
435337_0_original.jpg
, vp biashara sasa?
 
Hiyo itel kamanda unadhani inaweza lingana na hii anyway, hii biashara huria na kila mtu ana panga bei kulingana na yeye mwenyewe
anavyo hitaji
Samsung za low end budget hazitofautiani saaaana na hao akina itel kwa hiyo price range. Tena wakuta kwa specifications, itel akawa juu.
ILA KILA LA KHERI MKUU

Sent from my SM-J700F using Tapatalk
 
Iphone 6plus
Gold
16gb
520k
Clean
With warantee card
Whatsapp 0654926626
Call/text 0743460055/0622587079
 

Attachments

  • 5C4B518D-9704-4EEE-A483-D1922EE1AF62.jpeg
    5C4B518D-9704-4EEE-A483-D1922EE1AF62.jpeg
    36.2 KB · Views: 25
  • 84F832C6-721E-4CB1-8D8C-79861771E5DF.jpeg
    84F832C6-721E-4CB1-8D8C-79861771E5DF.jpeg
    52.1 KB · Views: 20
  • A079EEE7-BEBA-4382-B0AB-FF77549D59CA.jpeg
    A079EEE7-BEBA-4382-B0AB-FF77549D59CA.jpeg
    31 KB · Views: 21
  • 1491BBB7-5300-4BD7-81D2-DD2A7BD350AC.jpeg
    1491BBB7-5300-4BD7-81D2-DD2A7BD350AC.jpeg
    29.4 KB · Views: 22
  • A2FE22AA-022A-4884-82E3-7266329783A7.jpeg
    A2FE22AA-022A-4884-82E3-7266329783A7.jpeg
    48.8 KB · Views: 27
  • 0D2C81B2-A8F8-40F6-99F5-149078896FE5.jpeg
    0D2C81B2-A8F8-40F6-99F5-149078896FE5.jpeg
    28.8 KB · Views: 26
mkuu izo ni kwa simu zote model yoyote ...na zinauzwa kote nchini

wauzaji tunaogopa kusema ilo neno kwa sababu wateja mnapata maana isio nzuri ndio maana tunasema mpya

ila ni simu nzuri hazina matatizo ...zina warranty ..sticker ile ni kwa ajili ya warranty

kingine znauzwa dunia nzima hadi wamarekani wananunua huku hizo ...australia ...European countries ukija china unaweza prove io


point nyingne why we sell refurbished phones

ni kwasababu ni nafuu compared na brand new kwenye specific stores ivo


kama kwenye magari tu tunavyonunua ex japanese coz ni nafuu kuliko gari ya pale TOYOTA Tanzania ivo tu mkuu hope itawasaidia weng


Sent from my iPhone using JamiiForums

iPhone haina izo mambo mkuu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahitaji Huawei mate 10 pro
Mwenye nayo aniambie ni sh ngapi tufanye biashara

In God we trust
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom