INAUZWA Valdus D20 Smart Watch (Tsh 45000)

Kitox

Member
Aug 28, 2019
29
17
Nauza smart watch aina ya D20

Rangi: Nyeusi

Unaiunganisha na Smartphone yako na inafanya mambo yafuatayo:-

1. Inasaidia kupima Bloodpressure

2. Inasaidia kuhesabu hatua unazotembea

3. Inakutaarifu kama kuna meseji mpya imepokelewa kwenye simu yako, whatsapp, facebook, twitter, instagram n.k

4. Inakutaarifu kuhusiana na simu unazopigiwa.

5. Inapima kiasi cha nishati unachotumia (calories) pale unapofanya mazoezi.

Pia ni rahisi kuichaji.

Kwa maelezo zaidi angalia picha.

Bei:- Tsh 45,000/= (Bei ya usafiri unalipia)

Mawasiliano: Whatsapp/call 0719668825
View attachment 2850948View attachment 2850949View attachment 2850951View attachment 2850952View attachment 2850953View attachment 2850954View attachment 2850955View attachment 2850958
View attachment 2850964
View attachment 2850971
View attachment 2850976
 

Attachments

 • u3WVHa47bcb05722d44718ff52483f5d1ae60d.jpg
  u3WVHa47bcb05722d44718ff52483f5d1ae60d.jpg
  30.8 KB · Views: 10
 • VRoJH7ea48a9183b3446b980359ce4b34609eD.jpg
  VRoJH7ea48a9183b3446b980359ce4b34609eD.jpg
  61.9 KB · Views: 9
 • yNjOH64d6901a00294f67942590363db67ff3y.jpg
  yNjOH64d6901a00294f67942590363db67ff3y.jpg
  43.6 KB · Views: 11
 • 3I36Ha47bcb05722d44718ff52483f5d1ae60d.jpg
  3I36Ha47bcb05722d44718ff52483f5d1ae60d.jpg
  30.8 KB · Views: 10
 • g53qHd37b1dc167d341cbaa6f44e83e8eb247C.jpg
  g53qHd37b1dc167d341cbaa6f44e83e8eb247C.jpg
  73.3 KB · Views: 10
 • 20230201_72525e6253f25648_396017514063_mp4_264_sd_unlimit_taobao.mp4
  3.1 MB
1. Inasaidia kupima mapigo ya moyo (Bloodpressure)

2. Inasaidia kuhesabu hatua unazotembea

3. Inakutaarifu kama kuna meseji mpya imepokelewa kwenye simu yako, whatsapp, facebook, twitter, instagram n.k

4. Inakutaarifu kuhusiana na simu unazopigiwa.

5. Inapima kiasi cha nishati unachotumia (calories) pale unapofanya mazoezi.

Pia ni rahisi kuichaji.

Karibuni sana...mazungumzo yapo!!

Whatsapp/Call 0719668825

FB_IMG_1703606149386.jpg
FB_IMG_1703606127005.jpg
20231226_173946.jpg
20231226_174008.jpg
FB_IMG_1703606136688.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom