Dtosquiz
Member
- Nov 16, 2015
- 25
- 16
Kuna Tecno F7 naiuza kwa 75 kama unaweza fika hiyo bei tutafutane.Wakuu nahitaji smart phone used au mpya bajeti yangu 50000
Kuna Tecno F7 naiuza kwa 75 kama unaweza fika hiyo bei tutafutane.Wakuu nahitaji smart phone used au mpya bajeti yangu 50000
Picture plz na inamuda gan tokea uitumie? 0653957095Kuna 6s 64gb apa
Sh ngap hiyo J8J8 ipo laki
Imetumika muda ganiAnayetaka Samsung note3 kwa 250k chek ds 0759 322702 ipo gd haina tatzo lolote kabsaa
Kama elf 40 ni pm fasta uje uchukue chako fastaElfu 40
Haaaa weka picha MkuuNote4 Galaxy $400
Sold last yearHaaaa weka picha Mkuu
hilingi ngapi iyo Iphone???Iphone 7 mpya kabisa(Genuine),Colour-Silver,32Gb.Mwenye kuhitaji tu nicheki nikupe bei safi,ikisepa basi.0675660471.View attachment 515242
s
hilingi ngapi iyo Iphone???
160kpata tecno camon cx mpya imetumika mwez mmoja tu, bei tsh 250000
ni pm
Uko wapi mkuuNina Samsung Galaxy S5 nauza 250.Ina
Fingerprint
16gb
Ram 3gb
Made in Vietnam
Iko kwenye hali nzuri
ama kubadilishana na Samsung Galaxy Note 2 View attachment 514271