Wauza smartphone tukutane hapa

Tecno W4 used for 2months inauzwa 150000 nipo Dom ila popote utatumiwa
IMG_20170610_130126.jpg
IMG_20170610_130116.jpg
 
Tecno W3 lite ina 4g,IPO poa sana INA wiki 3 tu tokea niinunue,nimepata dharula,nataka 160,000/= tu
 
Kupa Techno J8 na Elfu 50
Unanipa simu gani?
Sifa za J8.
kioo inch 5,
Ram 2gb
Storage 16
Line 2 zote 4g
Camera mbele 8mp plus torch, Nyuma 16 plus flash. Simu yako lazima over hii
 
Nauza lg g4 300000
32 gb internal
8 gb external
3gb ram
16 megapixel camera ya nyuma
8 megapixel camera ya mbele
Inasoma 4g
Nipo morogoro mjin
0757971965
056559dd3b8244643f7b82bdebe339c4.jpg
c6764048110a74cd30297e32769ee8ac.jpg
71e6d03524c4f4cd3e729d4eea459c81.jpg
 
Wadau niko na Samsung Galaxy S7 ya silver nauza bei sawa na bure kabsa,
simu ni nzima na nimekaa nayo for miezi mi 4 tu, reason nauza ni kwa sababu samsung wametoa samasung galaxy s8 ni kawaida yangu kuuza ya zamani kununua mpya, ni mpya na mnunuaji ataipenda maana mie ni mtunzaji wa simu.

serious buyers wanione inbox tuongee biashara!
 
Huawei for Sale

Good Condtion
Haina Michubuko wala Mikwaruzo
Iko kama mpyaa
Internal 4gb
Camera 2mg
Double Line
Na ina support line zote
Nchek kupitia 0686133098
Tshs 125000 tu

IMG-20170616-WA0031.jpg
IMG-20170616-WA0030.jpg
IMG-20170616-WA0028.jpg
IMG-20170616-WA0029.jpg
IMG-20170616-WA0026.jpg
IMG-20170616-WA0027.jpg
IMG-20170616-WA0025.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom