Wauza smartphone tukutane hapa

Nina Huawei Ascend G610 nilinunua Tsh. 370000... Nauza Tsh. 180000 ni used. Ukitaka nitafute 0627403944 pia ukitaka na simu mpya bei chini ya bei za madukani kama tecno CamonCX pata kwa Tsh. 385000 na tecno zingine, J7 prime kwa 620000 zinauzwa 650000-700000 madukani.. Na simu nyingine... Nitafute kwa hiyo namba
 
Iphone 7 mpya kabisa(Genuine),Colour-Silver,32Gb.Mwenye kuhitaji tu nicheki nikupe bei safi,ikisepa basi.0675660471.
IMG_1148.JPG
 
Nauza Samsung Galaxy S6-Edge ina matatizo hivyo ni nzuri kwa spare parts. mwenye kuhitaji ani-pm
 
nauza s6 edge+(64gb) gold colour....used for 1month! for 800k.....note.negotiate if ur serious buyer
 
Me nauza samsung galaxy gland prime plus 300k haina tatizo lolote ina 2wks na niko tayari kubadilisha na Samsung s8 na hela kidogo 0718890919
 

Similar Discussions

63 Reactions
Reply
Back
Top Bottom