Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Umeenda kutembea ukweni kwako baada ya chakula cha usiku, unataka kutoka kwenda kujisaidia, kwasababu taa zimezimwa unapamia vyombo vya chakula sebuleni (ukumbi) kipindi unajaribu unapapasa uviweke sawa mara taa inawashwa na mama mkwe anaona umeshika vyombo anakwambia, baba kama hukushiba ungesema, wewe ungefanyaje na unamuonea aibu sana mkwe wako.