*Kama Ukushiba Ungesema tu Baba *

mbwana semsimbazi

Senior Member
Sep 5, 2013
196
202
Umeenda kutembea ukweni kwako baada ya chakula chausiku unapewa chumba chakulala inapofika usiku unatakakutoka kwenda kujisaidi kwasababu taa zimezimwa unapamia vyombo vya chakula sebleni kipindi unajalibu kupapasa uviweke sawa mala taa inawashwa na mama mkwe anaona umeshika vyombo anakwambia, baba kama ukushiba ungesema
 
Noma sana, ni sawa na umeingia choo cha ugenini, ile unafungua mlango tu unakutana na gogo, aliyetoka kabla yako hakuflash.

Ile unatoka tu unakutana na baba mkwe, anataka kuingia, fikiria atawazaje.
 
Umeenda kutembea ukweni kwako baada ya chakula chausiku unapewa chumba chakulala inapofika usiku unatakakutoka kwenda kujisaidi kwasababu taa zimezimwa unapamia vyombo vya chakula sebleni kipindi unajalibu kupapasa uviweke sawa mala taa inawashwa na mama mkwe anaona umeshika vyombo anakwambia, baba kama ukushiba ungesema
 
Hiyo ya kukutana na gogo ni ngumu kuiepuka lakini ya kujigonga kwenye vyombo ni ujinga, kwanini usiulize jiografia ya humo ndani kabla ya kulala!
 
Umeenda kutembea ukweni kwako baada ya chakula chausiku unapewa chumba chakulala inapofika usiku unatakakutoka kwenda kujisaidi kwasababu taa zimezimwa unapamia vyombo vya chakula sebleni kipindi unajalibu kupapasa uviweke sawa mala taa inawashwa na mama mkwe anaona umeshika vyombo anakwambia, baba kama ukushiba ungesema
Uboya huo kwanin utoke toke night kukausha ujisaidie asubuhi je
Na kwanini ule ad uvimbiwe ugenini!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom